HAPA NI JINSI YA KUZITAMBUA SHIKERI
KWA NAMBA; Nahuu
pia ni mpangilio wa shikeri katia namba yae, inamaana nimezipanga ila shikeri
na mlango wake inapo takiwa kukaa.
Mfano;
1.ukikuta-1222 =na
2. ukikuta-2121=na
3. ukikuta-1212=na
4. ukikuta-2222=na
5. ukikuta-1121=na
6. ukikuta-1221=na
7. ukikuta-2221=na
8. ukikuta-2122=na
9. ukikuta-1211=na
10. ukikuta-2212=na
11. ukikuta-1111=na
12. ukikuta-1122=na
13. ukikuta-2112=na
14. ukikuta-2211=na
15. ukikuta-2111=na
16. ukikuta-1112=na
Ndugu msomaji wa kitabu hiki cha
shikeri katika kitabu hiki kuna upigaji wa shikeri x2, au tatu kuna njia ndefu
na njia fupi na kuna kutazama kwa kuangalia swali ulilo ulizwa na muulizaji.
Pia kuna vitu vya muhimu vya kutazama
ambavyo ni milango ya shikeri, unatakiwa uzingatie kila mlango unazungumzia
nini au kila mlango una husu nini.
Mfano:
1.
Mlango wa kwanza ni mlango wa muulizaji (nafsi).
2. mlango wa pili ni mlango wa mali,
utafutaji, kipato.
3.
mlango wa tatu ni mlangu wa ndugu,jamaa,rafiki.
4. mlango wa nne ni mlango wa mji au
nyumba.
5. mlango wa tano ni mlango wa
elimu,uchumba au kizazi.
6. mlango wa sita ni mlango wa maradhi.
7. mlango wa saba ni mlango wa ndoa.
8. mlango wa wa nane ni mlango wa
ugaibuni yaani ugenini au alikotoka au anakotaka kwenda.
9. mlango wa tisa ni mlango wa
safari,msafiri.
10. mlango wa kumi ni mlango wa
ufalme,viongozi,mizimu au muajili.
11.mlango wa kumi na moja ni mlango wa
tamaa au kitu anacho kitamani au mipango ya muulizaji au matarajio yake ya
badae.
12. mlango wa kumi na mbili ni mlango
wa uadui, mfano mtu kakuuliza kuhusu ndoa yake kwanini haina amani au kuhusu
mambo yake basi unatakiwa uangalie mlango wa 7 na mlango wa 12 au katika mlango
wa 12 kukiingia shikeri ya inamaana uadui huo ni mkali sana na uchawi huo
ni wa kaburini.
13. Mlango wa kumi na tatu ni mlango
wa muulizai yani unaonyesha ninini alicho kiuliza muulizai.
14. mlango wa kumi na nne ni mlango wa
mwalim anae piga hizi shikeri yaani mtazamaji.
15.mlango wa kumi na tano ni mlango wa
nyumba au nyumbani kwake.
16. mlango wa kumi na sita ni mlango
wa mwisho na ni mlango wa hatima yaani ni mlango wa mahakikisho ya ramli au
kutazama mwisho wa matatizo ya muulizaji yatakuaje.
SASA TUNAINGIA KATIKA UANGALIA SHIKERI
YAKO IMEINGIA KATIKA MLANGO WA NGAPI NA INA SEMAJE
MLANGO WA NAFSI
Huu ni mlango wa muulizaji.
1.nafsi inauliza kuhusu kitu kilicho
kutoka kama kitapatikana au laa.
2. kipato chako kimefungika.
3. ndugu anaumwa tumbo.
4. mji ni salama lakini watoto
wanaumwa.
5. mkeo au watoto wanaumwa.
6.
maradhi yako tumboni.
7. ndoa yako ina matatizo na kutatokea
ugonvi.
8. safari au uendako hakuna matatizo.
9. safari haina matatizo nenda.
10. ufalme wako hauna matatizo.
11. tama zako ni mbaya kuna shari.
12. uadui ni wa masetani.
13. unatazama kupata kitu furani.
14. mwalimu utapata kitu kizuri.
15. nyumba yako ina uadui.
16. hatma ni nzuri ila watoto
wataugua.
2121 DAHAL MARI
1.muulizaji utapata kitu kizuri au
pesa.
2. ramli yako ni salama na utapata
pesa.
3. ndugu anaumwa tumbo.
4. mji ni salama na una kipato.
5. mji ni salama ila mkeo/watoto
wanaumwa.
6. mgonjwa maradhi yake ni mazito na
kuna hatari ya kupoteza maisha.
7. ndoa yako ni nzuli na ina kipato.
8. nenda safari utapata kitu kizuri.
9. safari yako ni nzuli ina mafanikio.
10. ufalme wako ni mzuli ila
unakipingamizi fanya tambiko.
11. tamaa zako ni nzuli ila zina joto
baya tafadhari agua.
12. una uadui ila uadui huo ni wa mda
mrefu, kwasasa huna uadui.
13. unatazama hali yako na familia
yako kwa ujumla.
14. mwalimu utapata kitu kizuli au
pesa.
15. nyumba yako ni salama.
16. hatma ni nzuli.
1212 HARIJA NDUGU
1.ndugu unatazama kitu kilicho kutoka.
2. kipato chako ni cha kutoka.
3. ndugu huyo hana uadui hata kidogo.
4. mahali unapokaa utahama au
utasafiri.
5. kizazi cha mkeo ni cha kutoka.
6. mgonjwa atapona.
7. ndoa yako ni ya makelele pia
mtaachana.
8. ugaibuni ni salama.
9. safari utaenda lakini kutatokea
makelele au msiba.
10. ufalme unashika na kuachia
inamaana ukipata kipato kinatoka.
11. tamaa zako ni mbaya na kama una
mimba au mkeo anamimba itatoka, hii ina tegemea na muulizaji kama ni mwanamke
au mwanaume.
12. kwasasa hauna uadui, uadui huu ni
wa zamani.
13. unatazama ugonjwa au kupata kitu.
14. mwalim utapata safari.
15. unapo ishi utahama.
16. hatma amali yako itarudi au kama
kuna kitu kilicho potea kitarudi.
2222 JAMAA
1.ugaibuni kuna mgonjwa anajini
bahari.
2. kipato chako kina mikutano mibaya
kuna watu wanakaa kukujadili ili kukuharibia.
3. ndugu hao hawana maana, wana
kukalia vikao vibaya.
4. kwenye mji wako watakuja watu wengi
au kutakua na mkutano au atakuja mtu au watu kwa ajili ya kusuluhisha jambo au
kujadili kitu furani.
5. kizazi cha mkeo ni majuto na ana
jinni bahari.
6. hali ya mgonjwa itakua mbaya sana
na kuna hatari ya kupoteza maisha.
7. ndoa yako ni ya migogoro maana kuna
watu wanawakalia vikao.
8. ugaibuni kuna mkusanyiko wa watu na
kama kuna mgonjwa atakufa.
9. safari yako haina heri, usiende.
10. ufalme wako unataka kukutana,
fanya tambiko.
11. tamaa zako zina rohani.
12. uadui wako ni wa watu wengi kaa
chonjo.
13. unatazama habari kutoka ugaibuni.
14. mwalimu utapata wageni wengi na
kama kwako kuna mgonjwa atakufa.
15. nyumbani kwako watakuja wageni.
16. hatma kutakua na watu wengi kutoka
ugaibuni, au kama kuna agonvu watakuja watu kuwa suluhisha.
1121
1.nafsi ina wasi wasi juu ya kitu furani
au maneno.
2. kipato chako kina kheri japo kina
manneno maneno ya watu.
3. ndugu ana piga kelele ana jinni.
4. mji una furaha lakini watu
hawaelewani.
5. kizazi kina jinni.
6. mgonjwa ana jinni na anapiga
kelele.
7. ndoa ni nzuli ila ina mikutano ya
fitna.
8. ugaibuni kuna mgonjwa au kuna
ugonvi.
9. safari itakua nzuli ila jiepushe na
ugonvi.
10. ndani kwenu hakuna maelewano na
ufalme wako hauelewani tafadhari fanya tambiko au toa sadaka.
11. tamaa zako zina jinni mganga.
12. uadui wako ni wa ndani na hakuna
maelewano.
13. unatazaa kuhusu mkeo/mumeo au watoto.
14. mwalimu utaskia kelele za msiba au
utafiwa.
15. nyumbani kwenu hampatani.
16. hatma ni nzuli lakini lazima
uaguliwe.
1221 sin qaf
1.nafsi haina haja bali ni matatizo.
2. kipato chako kimefungwa.
3. ndugu anaumwa tubo.
4. mji hauna tatizo.
5. mkeo kafungwa uzazi na tumbo
linamuuma.
6. mgonjwa ugonjwa wako ni kali sana
na pia ugonjwa huo uko tumboni.
7. ndoa ni nzuli hakuna shaka.
8. ugaibuni hakuna tatizo.
9. safari yako imefungwa na
ukiilazimisha utapata matatizo.
10. ufalme wako umefungwa na utakuja
kupata mabalaa, fungua.
11. taaa zako zime fungwa, fungua.
12. uadui huo ni mkali sana na
umefungwa kichawi, fungua.
13. sail kazizako zimefungwa na mwili
unauma.
14. mwalimu kila mala unaumwa tumbo.
15. nyumba yako haina uadui.
16. hatma ataugua mtu mzima.
2221 IN KIS
1.nafsi ina kiza umerogwa na umefukiwa
kaburini.
2. rizki yako ina nuksi kari, agua.
3. ndugu amerogwa na katupiwa jinni
maiti.
4. mji una nuksi na una jinni mbaya.
5. kizazi kime nuksika.
6. maradhi hayo ni makali sana na umefungwa.
7. ndoa yako ina giza kubwa na ina
hatari ya kuvunjika.
8. tangani kuna kiza hakuna heri.
9. safari yako haina heri usiende na
kuna hatari ya kupata ajari.
10. ufalme wako umefungwa fungua.
11. matamanio yako yamefungwa, fungua.
12. uadui huo ni mkali sana na huenda
ukakumbwa na balaa.
13. sail ramli ni yako mwenyewe,
unatazama kwanini mambo yako yana haribika.
14. mwalimu utasifiwa sana kwa mambo
mazuli.
15. nyuba yako ina nuksi kali, agua.
16. hatma hakuna heri mpaka utibiwe.
2122
1. nafsi yako ina wasi wasi juu ya
kitu au mtu furani.
2. kipato chako kina uadui kali.
3. ndugu ana wasiwasi na maneno.
4. mji huo ni mbaya watu wana logana.
5. kizazi chako kina joto baya, agua.
6. ugonjwa huo ni mkali sana na kuna
sihiri ndani yake, pia anae fanya uchawi huo ni mwanamke.
7. ndoa yako ni ya vurugu hakuna
maelewano.
8. ugaibuni kuna msiba au kama kuna
mgonjwa atakufa.
9. safari yako haina heri usiende.
10. ufalme wako hauna neno ila
mwiliwako ndo mbaya.
11. kamaa zako ni mbaya zina kijicho,
agua.
12. uadui huo ni kali sana tafadhali
agua.
13. muulizaji una wasi wasi una
mgonjwa.
14. mwalimu utapata jambo la haraka.
15. nyumba yako ina uadui mkali sana.
16. hatma ni mbaya mpaka utibiwe.
2212 BAYADHWA
1. ndugu muulizaji unauliza kuhusu
ndoto uliyoota.
2. amali yako ni nzuri ili mkeoana
jinibahari.
3. ndugu hawana uadui hata kidogo.
4. mji wako hauna tatizo.
5. mkeo ana mimba ya mwezi mmoja au
miwili.
6. maradhi yana uadui wa jinni.
7. ndoa yako ina Baraka.
8. ughaibuni hakuna tatizo na kama kuna
mgonjwa atapona.
9. safari yako ina bahati na
mafanikio.
10. ufalme ni mzuri.
11. tamaa zako ni nzuri.
12. uadui ni wa mashetani.
13. una ahadi Fulani au watoto
wanaumwa.
14. mwalimu atapata mali.
15. nyumba yako haina uadui.
16. hatma ni nzuri.
1122
1. saail ufalme wako una nguvu sana na
una asili ya mali.
2. kipato chako ni salama hakina
uadui.
3. ndugu hana uadui na wewe.
4. mji ni mzuri pia una kupato.
5. kizazi ni kizuri ila unaumwa.
6. maradhi yatapona.
7. ndoa ni nzuri sana.
8. ughaibuni hakuna shaka wala
matatizo.
9. safari yako ni nzuri na utapata
bahati.
10. ufalme unastawi hakuna tatizo.
11. matamanio yako ni mazuri.
12. uadui ni jinni.
13. saailhaja zako utafanikisha.
14. mwalimu atapata mafanikio.
15. kama unaugonvi ni lazima usuruhishwe.
16. hatima ni nzuri.
2211
1. nafsi inataka kupata kitu Fulani au
mali.
2. kipato chako ni salama na utapata
mali.
3. ndugu hawana kheri hata kidogo.
4. mji ni salama.
5. amali ni salama ila watoto wataugua
au wataumwa.
6. ugonjwa una usiri mkubwa umelogwa.
7. ndoa ni nzuri ila kuna uadui.
8. ughaibuni hakuna tatizo ni salama.
9. safari haina tatizo nenda.
10. ufalme na kipato vina sudi uadui.
11. tamaa zako ni nzuri.
12. uadui huo ni wa mwana zuoni.
13. unatazama haja zako kama utapata,utapata.
14. mwalimu utapata neema.
15. nyumba haina uadui.
16. hatma ni nzuri.
1112
1. utapata au utasikia maneno ya
kukukera leo au kesho.
2. kipato chako kina uadui mkubwa sana
na kimefungwa.
3. ndugu huyo ni mzuri sana
atakusaidia.
4. mji wako una maneno mengi na
makelele.
5. kizazi chako kina jinni,agua.
6. mgonjwa atapona akiaguliwa.
7. ndoa,kazi vina uadui na vina uadui
na fitina kubwa kuna hatari ya kuachana.
8. ughaibuni kuna maneno maneno ya
wanawake.
9. safari yako usiende ni mbaya sana.
10. ufalme una uadui wa kijini.
11. matanio yako yana jini mbaya.
12. uadui wako ni wa mashetani au
jinni maiti.
13. unatazama kuhusu mgonjwa.
14. mwalimu utapata msiba au makelele.
15. usitamani vya mwenzio utakosa kili
kitu.
16. hatma itakua ni mbaya sana na
uadui utaongezeka.
Babu endereaaa
ReplyDeleteNahitaji hichikitabu bab
DeleteProfesare babu enderea
ReplyDeletembona umeishia kati...kuna milango minne umeiacha sheikh
ReplyDeleteAhsnt
ReplyDeleteVp zinapotokea shikeri mbili au tatu zinazofanana
ReplyDeleteNAITAJI KUJIFUNZA LAMLI YA MUDA
ReplyDeleteHizo namba unazipataje sasa
ReplyDelete