DAWA YA KUVUTA WATEJA - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Saturday, November 11, 2017

DAWA YA KUVUTA WATEJA



DAWA YA KUVUTA WATEJA  KATIKA BIASHARA
Chukua udi 4 na salafu 4 uende katika mti wa mkuyu kisha washa udi zako kwa kuuzunguka mti na kila unapoweka udi weka na salafu moja.
Kisha fanya maombi ya kuuomba mti wa mkuyu na ukisha maliza kuomba mti ondoka na utarudi alfajili. Ukishafika ambatana na ukate magome ya mti huo pande zote 4 na utaondoka hadi nyumbani.
Uta ponda ponda magome hayo kisha utaanika na yakikauka saga iwe unga kisha chukua njiwa wawili weupe na uwachinje damu ya njiwa utaikinga kwenye chombo cheupe kisha utaikausha na utachukua kichwa,miguu,moyo utavisaga utachanganya katika dawa yako.
Kisha changanya vitu vifuatavyo
1.Vocha zilizo kwanguliwa =zilizotumika
2. Ubani zukra
3. Pesa ya kupewa bila kuomba
4. Udi rozi
5. Asali ya nyuki wadogo
 6. Kitanda au matakataka ya mwenda wazimu
7. Uchanja au meza meza wanayouzia magazeti.
8. Michanga ya soko
9. Michanga ya mahali palipo na kivuli wanapo pumzikia watu
10. Kete zinazotumika kuchezea bao
11. Biskuti
12. Pipi
13. keki
Changanya vyote kwa pamoja uvisage tayari kwa matumizi.
Matumizi
1.kuoga
2. kupaka
3. Kuchoma
4. kuchanja
Ndugu yangu hakika dawa hii ina nguvu sana na ukitaka kuiongeza nguvu zaidi kaizike njia panda ikae siku tatu kisha kaitoe.

8 comments:

  1. Sasa mti wa mkuyu upo mikoa gan

    ReplyDelete
  2. Sasa mti wa mkuyu upo mikoa gan

    ReplyDelete
  3. HAYO NI MAMBO YA KISHIRIKINA NA HAYAFAI KUYAFUATA WAKUOMBWA NI ALLAH TU.

    ReplyDelete
  4. Inaonekana kua ni dawa Nzuri (Mujarabu, Muaddabu na Munadhamu sana) Tatzo uandaaji wake unaonesha kua na Shirki ndani yake kwa hio (Njia panda, Kuchinja njiwa bila kumkusudia Mungu 'ukawa umelenga Biashara)

    ReplyDelete
  5. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    *penda uchawi
    * kama unataka ex wako nyuma
    * Acha talaka
    *kuvunja mawazo
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa ulinzi
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    ReplyDelete