UTALATIBU WA KUITA JINI - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Wednesday, November 8, 2017

UTALATIBU WA KUITA JINI



MAANDALIZI YA KUMUITA KIUMBE (JINI)
Kwanza kabisa utachora picha ya sako kama picha utakayoiyona hapo, na utakua umechora na mhuli au saini ya jinni utakae kua unamuhitaji na ukutani utachora pia sako (PENTA GRAM).
Katika uandaaji wako wa kumuita jinni unatakiwa uandae chumba na uwe unakiwashia mshumaa mwekundu ambao utakua umeuchora mhuli wa jinni unae muhitaji kilasiku kwa siku3 mfululizo.
Na mkono wako wa kushoto utavaa nembo ya jini unaemtaka ambazo ziko mbele na mihuli aua nembo hizo utazichora kwa damu yako mwenyewe au damu ya kobe wa kwenye maji.
Michoro yote utaichora siku ya juma nne sa moja asubuhi kiandaa ukiwa na mishumaa mitano
1 Mwekundu
2 Mweupe
3 Mweusi
4 Njano
5 kijani
Na mengine mweupe miwili ambayo itakamilisha mishumaa kua  7.
Utawasha kwanza yaukutani na amboyo ni mweupe kisha utawasha mingine kwa kufata kona sako yako ambayo ina kona 5 (tano).
Utaanza kuwasha mweupe na utamalizia mweusi.
MAZINGATIO;.
1 Hakikisha katika chumba chako kusiwe na mwanga wa taa tofauti na mishumaa
2 Hakikisha unayo nembo ya jin unaemuita katika mkono wako wa kushoto au mfukoni au uwe ni mkono wa kushioto na kama anaeitani mwanamke aweke katika ziwa lake la kulia.
3 Hakikisha unataja majina ya ya kufungua geti (mlango)wa ujinini mala tatu.
4 Hakikisha unavuta hisia za jinni unae muita kama unamuona.
5 Hakikisha unafanya zoezi la kuvuta pumzi ndani ya siku tatu kabla huja fanya zoezi la kumuita jinni.
6 Hakikisha umeandaa damu katika grasi ya kioo ambayo utaiweka katikati ya sako kabla hujaanza kuita.
7 Wakati wa kufanya kazi yako hiyo vaa nguo nyeusi au nyekundu na miwani myeusi .
8 Andaa kisu,wembe au sindano kwa ajili ya kujitoboa katika kidole gumba cha mkono maana atakapo kuja unatakiwa ujitoboe kidogo damu itoke ili udondoshee katikati ya sako.
9 Hakikisha humo chumbani kue na pikiti ya sigara aina ya Embasi.
Baada ya kukamilisha kila kitu unatakiwa utaje majina ya kufungua geti x9 kisha utaanza kumuita wewe jinni………………………………….
Njoo wewe jinni furani njoo nakuita mimi nataka uje unifanyie…………………………
Na utasema kama unataka aje kwa hisia au aje moja kwa moja au aje kama kivuli.
Atakapo kuja utamuamulu akufanyie unavyotaka akufanyie

15 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Nsaidie Unitumie Mambo Yaweza Kufungu Lango Lamajini

    ReplyDelete
  3. Nikiwaita Majin Hawaji Sijui Sabab Gn,kunakuja Tu Kabaridi Sisikii Hata Saut Yao,naombunisaidie Unifunze Vizul Jinsi Ya Kuaita Na Kuwaamulsha Cocot,watts App; +25775599205

    ReplyDelete
  4. Mwenyewe pia nahitaji majini watsup me+254775637596 kwa mawasiliano zaidi

    ReplyDelete
  5. KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mdiro unawaambia watu watume hela alafu unapotea nan akuamin

      Delete
    2. Nina uhitaji wa jini wa kiume awe mpenzi wangu na mlinzi wangu

      Delete
  6. Mm naumri wa miaka 25 nataka kwer kumiliki jini nikamilishe ndoto zangu

    ReplyDelete
  7. Mm mwenyewe nime kubali kujiunga na jini

    ReplyDelete
  8. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  9. nina jini wangu siku hzi hatimizi matakwa yangu

    ReplyDelete
  10. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    *penda uchawi
    * kama unataka ex wako nyuma
    * Acha talaka
    *kuvunja mawazo
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa ulinzi
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    ReplyDelete