MAAJABU YA HERUFI ZA ABJEDI - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Monday, March 25, 2019

MAAJABU YA HERUFI ZA ABJEDI


MAAJABU YA ABJADI
Elimu ya herufi ABJADI
Katika elimu hii ya herufi kuna usili mkubwa sana hasa kwa walio zisoma kwa undani maana herufi hizi zina tengeneza na zina bomoa.  Pia herufi hizi unaweza kuunda jini au kumteka mtu ki mahaba.
Katika ulimwengu wa sasa elimu inayo tumika ni ya herufi za kiarabu Ni tofauti na kalne zilizopita ambapo zilikua zikitumika herufi za kiyunani ,kirumi,NK.
Sasa nataka kukufundisheni khabari za herufi japo kwa uchache.
Katika herufi hizi zina kiongozi na zina malaika wake,na mfalme au kiongozi wa herufi hizi ni ا=ALIF.
Alif ina uwezo mkubwa sana na ina nguvu za ajabu na utendaji wake ni wa haraka sana tena sana.
Herufi hii ndiyo herufi mama wa rugha ya kiarabu  duniani kwa ujumla.

FAIDA YA KILA HERUFI
HERUFI YA KWANZA ALIF
(أ‌)                Alif herufi hii ndiyo herufi ya mwanzo katika herufi zote.
Mwenye kusoma au kuitaja x1000 kila baada ya swala ya alfajili atatajirika kwa uwezo wa allah.
Mwenye kuisoma x166600 laki moja na elfu 66 kila siku kwa muda wa siku 7 mfululizo atakua na uwezo wa kuongea na kiumbe wa aina yeyote na Alif huondoa ukosefu wa hifadhi yaani huleta fahamu na kuondoa tatizo la kusahau. Inavuta mapenzi kwa watu walio gombana.                                                                      Inaunganisha watu katika mahaba na ina zuia mke au mume kuzini.                                                   Inafungua hazina yani mali zilizo fichwa na watu wa kale au majini na ina vumbua madini.                       Ukii andika x113 inahifadhi mali isiibiwe.          Inaunguza makazi ya maadui                       ukiitumia vizuri herufi hii unaweza kujificha kwa adui au jambazi asikuone.
Alif ina uwezo wa kufunga siraha ya adui isitoke hata kama ni kisu kisikuchome.                             Unaweza kupata sili kwa mtu yeyote kwa kutumia Alif.                                                                      Ina angamiza maadui.
Marohani au watumishi wa herufi hii ni uma katika umma wanafanya herufi na shari na kheri.
Usiku wa alhamisi kuamkia ijumaa andika Alif x111 utapata utukufu.
Utapata cheo
Uta heshimika kwa watu
Wakati una iandika Alif kwa shida yoyote inatakiwa uweuna soma au unatamka maneno haya mpaka utakapo maliza kuandika,subhanallah ya lailaha ilalah anta.
Pia ukitaka kukiziwa haja yako fanya hivyo hivyo
Kupata mali nyingi au utajiri soma Alif x1000 kila asubuhi kabra hujaongea na mtu utakua tajiri kwa uwezo wa allah.
Ukiiandika x1000 siku ya alhamisi kuamkia ijumaa au ijumaa saa moja asubuhi au alhamisi katika karatasi pia matokeo ni hayo hayo kama ya hapo juu.
Alif ni ifara au ni ufunguo wa matumizi ya jina la allah ambalo ni ilahi,AKBARU,ALLAHU kama ilivyo ishara ya QAF,HAA YAA GHAIN,SWWAD.
Kwa mfano Qaf ina ashiria kun wa karim wa kitabi (kun fa yakun) hii ni elimu nzito sana haswa kwa madaktari wenyekuhitaji kukuza elimu zao na kuongeza kipato NK.

(ب)HERUFI Bee
ukiziandika 40 paka mwili mzima kutoa nuksi                      Herufi Bee huondoa maradhi ya baridi
Inavuta mahaba kwa umpendae mke au mume.                                                                            Inaongeza Qubri                                                           Huondoa uvivu na msongo wa mawazo.                    Kinga ya wezi katika mji na mashambani.                Herufi Bee hufunga macho ya majambazi        Inafunga ndimi za watu wanao kusema vibaya.
Ukitaka kumdhalilisha adui au mtawala jeuri andika siku ya jumanne herufi Bee x12 hakika ALLAH atamzalilisha.
Kumtibu mgonjwa andika herufi Bee x12 katika chombo cha udongo kisha futa naumpe mgonjwa anywe atapona-wakati una andika herufi Bee unakua una taja majina haya hadi utakapo maliza kuandika.
Utakua unasema ya arrahimani ya rahimu.
Kumtoa mtu au kutoka gerezani basi soma x500 kila siku herufi Bee hakika utaachiwa kwa inzini ya ALLAH.
Kuondoa madhara andika herufi Bee x71 na utumie kwa kunywa basi hubatwirisha madhara ya tokanayo na husda.
Kuutia moyo nuru na kumbukumbu na kutakasa andika herufi Bee x400 siku ya jumatono na utakua una kunywa wakati wa kuzama jua,na mwenzi mungu ata kuzidishia uwezo wa kuhifadhi masomo na kitu chochote kumbukumbu.wakati unaandika unakua una sema ya Qayum ya wahadu.
Ukiisoma x120 kila siku watu watakutii


(ت)HERUFI TEE
ukiandika x100na ukaandika na nia yako kama umeibiwa kisha karatasi hiyo ukaitie katika masahafu basi mwizi atarudisha alichoiba inshaallah.
Kupata amani kutokana na adui basi iandike herufi Tee x100 kisha kaitupe kwa adui hakika utamshinda.
Kupata utukufu, cheo,kupendwa NK.
Andika x1000 herufi tee kisha uwenayo kama azma.
Ukitakakua na utukufu na kuvuma pia kufungua mambo yako yaliyo fungika na kukuza kipato basi dumu katika kusoma herufi TEE X1000 kila siku.

(ث)HERUFI THEE
Ukitaka kujikinga na kuzuru miwa basi andika herufi hii x50 wakati wa kuchomoza jua siku ya jumanne kisha itundike karatasi hiyo katika ukuta upande wa kibra.
Kuondoa fitna,chuki, magonvi, baina ya mke na mume andika x500 herufi thee kisha wa nyweshe au mnyweshe mume au mke basi ndoa hiyo itakua salama.
Wakati wa kuandika herufi hiyo unatakiwa kutaja maneno haya hadi utakapo maliza kuandika-semaya Daima ya swamadu
Kupata mahaba kwa watu andika thee x60 =azima kama mtoto ana lia lia hivyo usku andika majina au herufi hii x60 kisha umfunge mtoto ataacha kulia .
Utapendwa na watu ukiwa unaisoma x60 kila siku.

(ج)HERUFI JI
)Ukiziandika x53 inafungua vifungo na unaweza kuwaona majini huvuta marohani na majini wanao kuja kwa njia ya upepo.
hukuza kipaji hasa ukiangalia maraisi wa tanzania walio wengi herufi zao zinaanza na                                                                         Hufungua mama aliejifungwa kuji fungua.
Hubatwirisha mbinu za adui.                                Hudhalilisha adui na kumuangamiza.
JIM Herufi hii huponya magonjwa na kuondoa uchawi wa moto kumsahaulisha mtu=sahau kuacha tabia mbaya.
Kama una semwa semwa vibaya na watu basi andika herufi hii x55 herufi jim siku ya jumatano wakati wa kuchomoza jua ,watu watakusema vizuri,watakupenda,na utapata baraka katika umriwako wakati una andika unakua unasema maneno haya ya bariu ya Qabiru hadi utakapo maliza kuiandika.
Ukitaka kuwaona mitume katika usingizi soma herufi hii x1000 kila siku kabla ya kulala kwa mdawa siku 7 utawaona mitume katika usingizi.
Kuondoa uchawi katika mwili=andika usiku wa kuamkia alhamisi herufi hii x1000 kisha tumia kama kombe kunywa 1x3 kwa mda wa siku 7 hakika sihli ita batwilika.
Ukitaka kuwaita viumbe iliuwaone wa juu au wa chini basi iandike herufi hii x1000 kisha ingate kwa meno utawaona viumbe.



 (ح)HERUFI HEE
Kama una adui anakusumbua chukua mchanga usomee x1000 herufi hii kisha kaumwange kwa adui usiku basi ataamka akiwa tayari ni rafiki yako hii hutumika hata kama mke kakatalia kwao atarudi.
Kama una madonda ya tumbo au vijiwe katka figo andika kombe la herufi hii x700 au somea herufi hiyo tende na umpe mgonjwa wa madonda ya tumbo atapona kwa uwezo wa allah.
Pia huondoa uchawi.wakati unaandika unakua una soma ya kafi ya rajai.
Ukitaka kujua habari za mbali au kitu au mtu alie kimbia uta soma ya khifati x70 kisha uta soma herufi hee x70 kisha utaweka katika mchanga wa kitanda utamuona katika usingizi ,lakini ni vizuri ukawa una soma kwa mtindo huu una sema ya khifati khee mpaka x7 kwa siku moja tuu.

ZAIDI NA ZAIDI NUNUA KITABU CHANGU CHA MAAJABU YA ABJEDI NAMBA MOJA NA NAMBA MBILI ILI KUPATA ZAIDI.

AU NITAFUTE KWA 0657 555550 ILI KUPATA VITABU VYANGU.

UKINIKOSWA BASI PIGA OFISINI MOJA KWA MOJA, 0657958982, HII INAPATIKANA MASAA YOTE.

No comments:

Post a Comment