PETE YA AJABU - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Saturday, March 28, 2020

PETE YA AJABU


KITABU CHA PETE
ASALAM ALEIKUM WARAHMATURLAHI WA BARAKATUH
Jichunge na matapeli wataanza kuiga pete hizi za maajabu, hakikisha unampigia babu haji ili kupata uhakika wa pete hizi.
0767393934 au 0657555550
Kwanza kabisa kaa ukijua ya kwamba kila kitu kina uzuri na ubaya na pia vivyo hivyo na nyota hua zina kua katika uzuri na wakati mwingine nyota yako hugeuka kua adui kama itakua imeingiliwa au imeingia katika mzunguko wa nyota ambayo ni adui, ambayo inaweza kukupelekea kukwama kwa mipango yako.
Pete hizi zitakukinga na maradhi ya kinyota na hata ya kichawi, na pia pete hii ni muhimu kuiweka kama azma yako ya kukukinga na maradhi mbali mbali ikiwemo kupooza na maradhi ya kijicho.
Hakikisha unaitunza vizuri hii pete yako na kuiweka katika hali ya usafi.
Tarasimu inayo miliki pete hii ni hii.
و  زكي
ھ خبير
اااا ظهير
 ثابت  #
م  شكور
آآآ جبار
فرد
 فرد
و  زكي
ھ خبير
اااا ظهير
 ثابت  #
م  شكور
آآآ جبار
آآآ جبار
 فرد
و  زكي
ھ خبير
اااا ظهير
 ثابت  #
م  شكور
م  شكور
آآآ جبار
 فرد
و  زكي
ھ خبير
اااا ظهير
 ثابت  #
 ثابت #
م  شكور
آآآ جبار
 فرد 
و  زكي
ھ خبير
اااا ظهير
اااا ظهير
 ثابت #
م  شكور
آآآ جبار
 فرد  
و  زكي
ھ خبير
ھ خبير
اااا ظهير
 ثابت#
م  شكور
آآآ جبار
 فرد
و  زكي
Tarasimu hii ndiyo iliyo unda pete hii ya ajabu na kuipa nguvu za kuweza kufanya kila jambo la kheri, na pia majina yake yapo katika kila alama kwenye jedwali na majina hayo ni majina ya Allah ambayo ni:
1. Fardu.
2. Jabbaru.
3. Shakuur.
4. Thabit.
5. Dwaahir.
6. khabiiru.
7. Zakiyyu.
Na majina haya ndo mamiliki ya kumiliki siku zote saba na malaika wa kila siku.
Pete yako haihitaji kisomo chochote maana tayali imesha somewa wewe unatakiwa kufuata maelekezo ya siku za kuanza kuivaa.


Kwanza kabisa pete hizi ni pete ambazo zinatumika katika mambo mengi,pete hizi zinatumika katika upande wa kinga kukinga uadui na pia kuondosha shari za kila namna.
 Pete hizi ni pete ambazo nimezitengeneza kwa kutumia kembe,kembe ambalo lilikuwa likitumika na wahenga wetu wa kale, sasa kembe hili linauwezo wa kuweza kuzuia radi ,kufukuza ubaya,na kuondosha kila balaa katika mwili wa mtu.
 Utakapokuwa umevaa pete hii hakika uchawi wa aina yoyote auwezi kukufika kwa sababu kembe hili tayari liko na dawa moja kwa moja na pia lina dua moja kwa moja na pia limetengenezwa kwa majira maalumu na kwa nguvu maalumu na kwa uwezo mkubwa kabisa.
 Pete hii ni pete yenye mvuto mkubwa sana kwa sababu inamiliki siku zote kuanzia juma mosi, juma pili, juma tatu, juma nne,juma tano,Alhamisi na ijumaa.
Pete hii ina herufi saba za ajabu ambazo herufi hizi ni Hatam Selumani, Hatam Selumani hii inaanza na staa yani nyota, na katika nyota hizi inasimamia shams, inasimamia siku ya jumapili na ni nyota yenye kuwa na mwanga inamaa hii pete aifuati nyota bali yenyewe iko complite kwa mwenye nyota ya aina yoyote anauwezo wa kuvaa pete hii.
Hii alama ya nyota ambayo iko katikati kwa hii pete  kisha ikazungukwa na saiko, saiko hii inamaanisha umiliki wa dunia,na baada ya kuanza na mzunguko ikaanza na herufi ambayo ni Mimu ya kirumi, alafu ikafata Mimu ya kiarabu,alafu ikafata Reli,alafu ikafuta alama ambazo ni Moja,Moja,Moja,Moja yani 1x4 ambazo zinamiliki herufi Arifu,alafu ikafuta herufi He,ambayo imefuatwa na namba Sita, namba Sita hiyo ukiigeuza unapata namba Tisa ambacho ni kikomo cha namba.
 Pete hii herufi ya nyota jina lake ni kubwa sana ambapo inasimamia jina la Mwenyenzi Mungu FALDU, na herufi ya Mimu ya kirumi inasimamia jina la JABARI, herufi inayofuata inasimamia jina Thabiti, alafu herufi inayofuata thabiti, herufi inayofuata ambayo ni  moja,moja,moja,moja, inasimamia jina la Mwenyenzi Mungu DHWAHIRU, yani Mwenyenzi Mungu ni mwenye kudhihilisha kila kitu, unataka kudhihilisha kwa hiyo pete yako inauwezo wa kukudhihilishia kila kitu unachokitaka kikawa dhahiru yaani kikawa wazi.
 Na herufi hii inayofuata iko kama He Mihabiru,habiru,herufi hii inamiliki jina la Mwenyenzi Mungu Habiru na hii namba sita ambayo inaweza kuwa namba tisa au Wau inaitwa Zakiyu inamiliki jina la Mwenyenzi Mungu Zakiyu kwahiyo pete hii ina mambo makubwa sana.
Sasa tukija hapa katikati kwenye nyota ambayo iliyozungukwa na saiko hii ndiyo inayomiliki dunia kwahiyo pete yako inauwezo wa kutibu maradhi, mbili inauwezo wa kufungua vifungo,tatu inauwezo wa kukupa njozi,nne,inauwezo wa kukufungulia kama umefungwa ,tano, inauwezo wa kummiliki mpenzi,sita, inauwezo wa kukupa fahamu ya kufahamu au kukumbuka kitu ambacho ulishakisahau au kama unatatizo la kusahau sahau,saba inauwezo mkubwa wa kukukinga na uchawi wa radi,nane, inauwezo mkubwa pia  wakuweza  kukukinga na ugonjwa wa kupooza.
Pete hii imetengenezwa kwa kembe kembe hii ilikuwa ikitumika na watemi na wafalme wote bara la afrika na ulaya pia walikuwa wakivaa kembe hii, kwahiyo badala ya kuvaa kembe kubwa katika  mkono basi unaweza kuvaa kembe yako kidogo katika kidole na ikawa pia ni tambiko kwako lakukuweza kukupooza na maradhi na katika maswaala mbalimbali yanayohusu na  mambo yatambiko.
 Pete hii pia inatengenezwa kwa dua kubwa sana dua hii ni dua ya maangamizo ya kuangamiza uadui, yakuangamiza nuksi na mabalaa yote kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu na pete hii ina siku maalumu ya kuweza kuivaa na haiitaji dua tena kwa sababu tayari imekwisha kusomewa labda kama utahitaji kuisomea ili kuipa nguvu au kuiongeza nguvu kama labda umeiharibu, basi isomee Abjedi ,isomee dua ya Abjedi yale majina manane isomee mara x111 hapo tayari utakuwa umeshainua pia pete yako hii kwa mwanzo kabisa pembeni uku ya sako kuna neno ilimeandikwa Abjedi, Abjedi ni jina lakini lina maana kubwa sana ambalo lina nguvu kubwa sana na pia pembeni tena ikaandikwa Arifu neno Arifu ambalo pia linamaana kubwa sana Arifu ni mwanzo wa kuanza kitu au kianzilishi ya kuanza kitu au wa kwanza katika hiyo Arifu kuna jina la Mwenyenzi Mungu lenye nguvu kubwa sana.

Na pete hizi zimesomewa kisomo kirefu sana kama utahitaji kutengeneza wewe mwenyewe pete hizi basi chora hizi pete kama jinsi ilivyo kwa kutumia kembe na siku ya jumapili asubuhi saa moja muwe watu kama kumi hivi na zaidi inatakiwa ndani ya saa moja musome masaafu muimalize alafu mnasindikizia na Barahatii mara 41 tayari pete yako inakuwa imekamilika.
 Na kipindi mnasoma inakuwa ndani ya sako na baada ya pale zinatakiwa zifushwe ina maana pete yako ambayo unaiyandaa inatakiwa ifushwe ndani ya siku tatu ikiwa ndani ya sehemu palipo tulia unakuwa unaifusha ubani asubuhi,unaifusha jioni, tayari pete yako inakuwa imekamilika.
Pete hii pia inauwezo mkubwa katika maswala ya mapenzi ya wanandoa chukua pete yako ivue kwenye kidole inuize ewe pete kwa nguvu wa malaika wa kuanzia jumapili mpaka juma mosi ninawaomba Fulani bini Fulani anipende mimi mume wake au mke wake Fulani bint Fulani, ninaomba ninavovaa pete hii nikama nimemvaa yeye kisha chukua pete yako itie ndani ya glasi alafu uisomee neno Beduh, ya Beduh, ya Beduh,ya Beduh ya Beduh,ya Beduh mara 1000 hayo maji  kisha toa pete yako ivae yale maji mchanganyie kwenye  maji ya kunywa tu kawaida walai utaona ajabu kabisa ya nguvu za dawa hii.
 Pete hii ina nguvu pia katika maswala ya wale madereva ili kuweza kukukinga na ajali kama mtu amekutengenezea ajali basi vaa pete yako uzuri kabisa kwa manuizi.
 Pia pete hii unaweza ukaining’iniza ndani ya gari ikawa kama kinga, kwa upande wa viumbe pete hii ina Hatam Suleimani, Hatam Suleimani ndiyo inayokontroo viumbe wote duniani wakike na wakiume kwahiyo utakapo tumia pete hii kama una swala la kuita kiumbe wa aina yoyote basi kuwa na uhakika kwamba una usalama wa kutosha ila tu ili kuweza kuepusha misuko suko na uoga uwe ndani ya sako ya chumvi ya mawe au ya mchanga mwekundu.
 Na pia katika utendaji wa pete hii pete hii inatenda kazi siku zote na wakati wowote isipokuwa kuna hati hati ya kuaharibu pete hii iwapo utaivaa ukiwa na hedhi, au utaivaa ukiwa umefanya tendo la ndoa bila kuoga.
Pia pete hii aitaki kuchezewa chezewa na watoto maana kama unapofanya hivyo ni kama vile unaidharirisha, kama uhitaji kuivaa pete yako labda umeamua kupumzika basi chukua pete yako itie ndani ya kikopo kisha pulizia manukato ya aina yoyote alafu itunze pete yako.
 Labda kama unataka kuingia katika hedhi labda unahisi kwamba sasa tayari basi tia katika kikopo pulizia manukato inshaallah mambo yatakwenda vizuri kabisa na kama bahati mbaya umeigusa ukiwa na hedhi bila kufahamu au kwa kufahamu lakini umesahau basi inatakiwa uchukue pete yako uitie ndani ya maziwa kisha uitoe uitunze katika kikopo na uipulizie manukato ndani ya siku tatu inaamka upya.
Na kinachotakiwa kingine cha kukiangalia sana katika pete hii kidole utakachokuwa umekivalia pete hii usipende kumsondea mtu ukimsondea mtu kidole hicho wenda ukampa madhara makubwa.

Naam jinsi ya kusafisha pete yako tunatumia maziwa kwa kusafisha pete yako kama utakuwa imesafirishwa labda ujui katika safari imeshikwa na nani na alikuwa katika hali gani lakini kama unayo mwenyewe aina haja ya kuisafisha kwa maziwa kinachotakiwa siku ya juma pili saa moja asubuhi au Alhamisi saa moja asubuhi au ijumaa saa moja asubuhi au juma tatu katika siku hizo ndizo unatakiwa uvae pete yako unaweza ukachukuwa ubani au udi ukaifusha udi huo.
 Pete yako ukainuiza ukasema ewe pete ninakuvaa katika mkono wangu wakulia ninaomba uniingizie rizki kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu na pia naomba univutie wateja katika biashara zangu na pia ninaomba nipendwe na watu nikubalike na kila mtu nitakalo zungumza watu wanisikilize nitakalo lifanya lionekane kwa watu ni jema nitakalo lisema kwa mtu yoyote anikubalie awe mkubwa au mdogo, kuanzia sasa hivi nimezimiliki siku zote kuanzia juma pili mpaka juma tatu, baada ya kumaliza manuizi yako wakati huo unaifusha pete yako basi unaivaa katika kidole chochote mkono wa kulia.
 Na kama bahati mbaya pete yako umeishika labda  katika hedhi au aidha  umeishika ukiwa umefanya tendo la ndoa bahati mbaya ukaigusa basi inatakiwa uilaze katika maziwa asubuhi sana ndipo uichukue uifushe udi wenye manukato au ubani ndipo uivae tena hapo utakuwa umeshaizimua lakini kama utafanya hayo mambo kwa makusudi basi huenda ikakuletea athari katika kazi zako zikasimama na kila kitu kikaenda vibaya.
 Kwa hiyo pete hii inatakiwa uwe nayo makini, na mfano kama unataka kwenda kumdai mtu deni basi utakapo kuwa na pete hii  ifushe  bado ukiwa nyumbani kwa udi au ubani unaiyambia ewe pete ninakufusha udi ninaenda kwa Fulani kuomba kazi au kutaka kitu Fulani kwake au kudai deni langu au kutaka msaada atakapo niona anionee uruma sana kwa utukufu wa Nabii Suleimani kwa utukufu wa herufi zako wewe pete, ukisha maliza kusema hivyo kuifusha basi pete yako irudishe mkononi alafu kisha nenda mahali unapokwenda Inshaallah majibu utayapata.
Na pia katika upande wa maswala ya kesi unaweza ukachukuwa pete yako mfano labda unakwenda katika kesi na mtu unachukua pete yako unaandika majina katika karatasi ya Yule mtu ambaye unakwenda kushindana naye au kuongea naye unasema ewe pete ninaenda kuongea na mtu Fulani tunakesi au tunamashauriano nahitaji ukaweze kumfunga kauli yake nitakacho kisema mimi iwe ni ndio na akubaliane na ninacho kitaka kisha kunja kunja hiyo karatasi ipachike katikati ya pete, pete hiyo usiivae itie mfukoni inamaana anapokuwa anaongea yule adui yako jitaidi kuweka mkono mahali ilipo pete kama unaibana na unapoongea wewe basi  kuwa tu free usiibane pete yako.
Katika upande wa utafutaji rizki na mambo mengine basi unapokuwa umeivaa tu yenyewe pete ni mvuto tosha kwa jinsi utakavyokuwa unainuiza lakini siku ya Alhamisi kuamkia ijumaa usiku pete yako jitaidi sana kuwa unaifusha kama unataka pete yako iendelee kuwa na nguvu zaidi na zaidi na zaidi,pete hii inamanufaa mengi sana haswa kwa wale wanaoitaji mvuto, kupanda vyeo, kuimarisha biashara zao n.k.
Pete hii inamiliki nyota zote inamaana hauna haja ya kuvaa pete ya nyota yako inamaana hapa kuna hatam zote ambazo ni moja mpaka saba ambapo katika hizi kuna majina saba ya M.Mungu na katika hizi pia kuna pentagram ambayo inamiliki dunia na pia kuna namba ya mwisho ambayo ni namba sita inautukufu na ukubwa mkubwa sana kwahiyo pete hii ukiwa nayo hauna haja ya kua na pete ya nyota  maana pete ya nyota utakuanayo nyota yako itang’ara wakati wa nyota yako lakini ikifikia kipindi nyota yako mfano;kama wewe una nyota ya moto ikafikia miezi ya kutawala  nyota ya maji basi ujue utake usitake utayumba tu.
Lakini utakapokua na pete hii huwezi kuyumba kwasababu utakua umezidabo nyota zote kumi na mbili na utakua umezidabo wale mahudamu wote wa siku zote kwanzia Shamhurush,Maimuna,Burqan yahud na wengine wote ambao wanahusika na maswala ya umiliki wa siku,miezi na miaka.Pete hii usiidharau ni pete ambayo inaumuhimu sana katika maisha yako.
PIA USIKOSE VITABU VYANGU  KWA AJILI YA KUPATA ELIMU ZAIDI YA KUJI TATULIA MATATIZO WEWE MWENYEWE.
1.KITABU CHA TAFSIRI ZA NDOTO.                                                                                                                                             2. KITABU CHA ELIMU YA NYOTA.                                                                                                                                                       3. KITABU CHA MAAJABU YA YASINI.                                                                                                                                                       4. MAAJABU YA INNA ANZALNAHU.                                                                                                                                       5. KITABU CHA UFUNGUO.                                                                                                                                                                             6. MAAJABU YA MAJINA 28 YA BARAHATIH.                                                                                                                          7. MAAJABU YA MISHUMAA NA UDI.                                                                                                                                                                                  8. KITABU CHA MADAWA MBALI MBALI.                                                                                                                                9. KITABU CHA MJARUBATI BIN HAJI NO1/2/3.                                                                                                                                                            10. KITABU CHA MITI SABA YENYE UWEZO WA KUTIBU KILA MARADHI.                                                                                                            11. KITABU CHA MAFUTA YA AJABU YENYE UWEZO WA KUTIBU MARADHI MENGI NA KUFUKUZA MAJINI.                                                                                                                                                                                  12. KITABU CHA UFUGAJI WA KUKU.                                                                                                                                          13. MAMA AJIFUNGUA NYOKA BAADA YA KUOMBEWA NA MCHUNGAJI.                                                                                                      14. KITABU CHA MADAWA NAMBA MBILI.                                                                             15. KITABU CHA MAGONJWA YA MOYO, PRESHA NA KISUKARI(dalili zake na tiba zake)                                                                                                                                                      16. KITABU CHA HADITHI YA JINI MAIMUNA NA KIJANA HAJI UJININI.                                                                                                                                      17. KITABU CHA MAUMBILE NA MAANA ZAKE.                                                                  18. KITABU CHA WATAMBUE MAJINI NA DALILI ZAKE.                                                               19. KITABU CHA NGUVU ZA KIUME NA HISIA NA UZAZI.                                                                      20. MAAJABU YA SURAT WAQIA.                                                                                                        21. MADHALA YA ZINAA KATIKA DINI NA KISAYANSI.                                                                    22. KITABU CHA NYOTA NAMBA MBILI.                                                                                          23. KITABU CHA ELIMU YA HESABU NA UTABIRI.                                                                               24. KITABU CHA ELIMU YA KUITA VIUMBE (elimu ya viumbe)                                                  25. KITABU CHA FUNGUO NAMBA MBILI                                                                                            26. KITABU CHA NDOTO NO2                                                                                                           27. KITABU CHA MAAJABU YA YASINI NO2                                                                                            28. KITABU CHA DUA NZITO YENYE MAJIBU YA HARAKA.                                                           29. KITABU CHA MAAJABU YA YASINI NO2                                                                                     30. KITABU CHA MAGONJWA YA KINA MAMA NA DAWA ZAKE.                                                                                                                31. KITABU  CHA ELIMU YA KUMSOMA MTU KUTOKANA NA MAUMBILE YA KUZALIWA NAYO.                                                                                                32.KITABU CHA  HABAI ZA SAA; =UTABILI KWA KUTUMIA SAA                                                                                                         33.MAAJABU YA ABJEDI NO;1 NA2
34. KITABU CHA ELIMU YA TIBA,NO;1 NO;2 NO;3
35. ELIMU YA MITI SHAMBA NO,1,2,3
36. ELIMU DUNIA
37.JITIBU PASIPO TABIBU
38, SAYARI,CHENYE KUELEKEZA MATIBABU KULINGANA NA NYOTA YAK NA KINA ELIMU YA NDANI INAYO HUSU SAYARI NA SAA ZAKE.
39..PIA USIKOSE KITABU CHANGU KIITWACHO UCHAWI WA ZAMANI KILICHO JAA TARASIMU ZA KILA AINA NA ELIMU YA KUTUMIA NAMBA ZA ABJADI NA ELIMU ZA MAJINI NA MAANA YA BAADHI YA MITI NA MATUMIZI YAKE PIA KATIKA KITABU HIKI KINA UCHAWI KWA KUTUMIA SHIKERI.  KAMA UNAHITAJI KUKUZA ELIMU YA TIBA ASILI NA KUJUA MENGI KUHUSU MAJINI USIKOSE KITABU HIKI, KITABU HIKI KINA NAMBA MOJA MPAKA TATU.

39. MIUJIZA YA KITABU CHEKUNDU, KITABU HIKI NI CHA MIUJIZA NA KIMEUNGWA VITABU VYANGU VYOTE NA UNAWEZA KUKIFANYIA KAZI YOYOTE HATA BILA KUKISOMA KWA KUWEKA MANUIZI KATIKA KARATASI ZA NJANO AU NYEKUNDU, UKIKIPATA HIKI UMEKAMILIKA.

KWA DAR ES SARAM  NAPATIKANA BUGURUNI MALAPA UKISHUKA ULIZA KAMPUNI YA ULINZI YA TURU: NIKO JENGO HILO HILO UKIFIKA HAPO UTAONA DUKA LA VITABU LIMEANDIKWA BABU HAJI DUKA LA VITABU NA MIMI NAPATIKANA HAPO HAPO.


EE MOLA WANGU ULIYE UMBA MBINGU NA ARDHI NAKUOMBA UTUKINGE NA MABALAA YATOKANAYO NA MAJINI NA BINADAMU NA UTUJALIE AFYA NA SALAMA YAA SALAMU ILI TUWEZE KUKUSHUKURU NA KUKUABUDU NA UTUJAALIE MIONGONI MWA WAJA WAKO WEMA YA ALLAH.

face book nitafute kwa: drhaji babu

au youtube andika babu haji

NAMBA ZA SIMU ZA OFISINI ZINAZO PATIKANA KWA MUDA WOTE NI:0657958982





1 comment:

  1. UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI

    (Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajili ni azina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)


    MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

    ReplyDelete