KITABU CHA FIMBO - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Monday, February 10, 2020

KITABU CHA FIMBO


KITABU HIKI HAKIUZWI NI MALI YA MWENYE KUNUNUA FIMBO
Ndugu mtumiaji wa fimbo hii hakikisha unakua makini na fimbo yako maana ina manufaa na pia ni hatari, kwanza kabisa unatakiwa uitunze kwa uangalifu sana ili isije ikaguswa na mwanamke anae tumika au asije akaigusa mtu mwenye janaba, kitabu hiki kina nguvu ya mnyama Dragon na mmiliki wake ndo huyo huyo.
Katika mila nyingi au katika tamaduni nyingi duniani fimbo hutumika kwa mambo mengi mbalimbali na fimbo hizo huwakilisha,moto, upepo, maji, ardhi na roho. Ni chombo kinachotoa uponyaji, nishati nyepesi kupitia mponyaji kwa mgonjwa, na ilifanywa fimbo kua nguvu za uponyaji na kinga.
Na hata ukitazama maraisi na wafalme wengi hutumia fimbo kwa ajili ya kujikinga na mambo mbalimbali.
Fimbo hii imetengenezwa kwa mti maalumu wa kichawi ambao mti huu hutumika na wachawi kwa ajili ya mambo yao ya miujiza na kupiga pamoja na kutibu.
Fimbo hii pia imepakiwa vitu vya kichawi ambavyo vina nguvu ya kufanya mambo makubwa na kubadilisha kitu kuwa kingine, na fimbo hii ilitumika na mama mmoja kuwageuza watu kuwa ngurue na waliitumia katika kufanya mazingaombwe.

Huko ulaya fimbo hizi zilitumika na miungu watatu ambao ni Hermes , Athena , na Circe ambazo walizitumia katika kufanya miujiza mbalimbali.

Kazi za fimbo hii:-
1. kupiga adui.
2. kuvuta wateja katika biashara yako.
3. kuvuta ndoto.
4. mvuto wa mapenzi.
5. zindiko la nyumba.
6. kutoa mapepo.
7. kufuta kesi.
8. kuvuta picha katika kioo.
9. kufarakanisha.
10. kumtibu mtu akiwa mbali na zingine nyingi.
11. kumtega adui.
12.kutumika kucholea penta gram
Utendaji wake:-
1.Jinsi ya kumpiga adui, chukua fimbo hii uifungie jina la adui kisha  uichinjie jogoo mwekundu kwa manuizi na baada ya hapo utataja majina haya mara 313, BEDUHI AHJAZATWI kisha fimbo yako itunze, hakika utasikia jibu lake.

2. Kuvuta wateja katika biashara yako.
Chukua fimbo hii na uifunge na pesa kisha utaifukiza udi au ubani na utanuia kwa kusema, wewe dragon nakupa pesa na mimi naomba unilipe pesa naomba kuanzia sasa unipe pesa na usinipe machungu wala maugomvi, baada ya hapo tunza fimbo yako mahali safi na salama, na pia ni vyema ukaiweka mahali pa biashara yako, hakika utauza kupita kiasi na fimbo hii ukiitumia kwa ajili ya mvuto tu hakika ni nzuri zaidi lakini ukiichanganyia na mambo mabaya ya kupiga kuua inakua na nguvu ya kupiga kuliko kuvuta.
Na pia fimbo hii inaweza kukupa utajiri kama utaitumia vizuri, utaichinjia jogoo mweupe na utaifunga na pesa kisha utakua una ifukiza ubani maka kila mwezi ukiandama na vizuri zaidi kila alhamisi.
Kumbuka kila unapo ifukiza fimbo hii kwaajili ya mvuto au mapenzi unatakiwa uisomee ya Beduh mara 1000.

3. Kuvuta ndoto:-
Andika unachokitaka kwenye katika karatasi nyeupe kisha karatasi hiyo ifunge katika fimbo,na fimbo hiyo iweke katika mchago wa kitanda.

4. Mvuto wa mapenzi:-
Kama unataka kumsumbua mtu katika mapenzi unatumia fimbo hii, andika jina la unaemtaka katika karatasi nyeupe mara7 kisha andika na jina lako mara1 na manuizi kisha funga katika fimbo na uisomee yaa Beduh mara1000.
Manuizi:-
Wewe fulani nakuita mimi fulani kwa nguvu za dragon na moyo wako uwake moto kwa kuniwaza mimi fulani, usile wala usilale na nitakacho kitaka unipe.

5. Zindiko la nyumba:-
Ukitaka kuzindika nyumba shika fimbo hii na uisomee majina haya mara77 Beduh,Ahjazatw kisha utasema maneno haya kwa nguvu za Dragon nazindika nyumba hii akija mchawi aione inawaka moto,kisha zunguka mji wakati huo umeshika fimbo yako ukiwa umeilekezea chini,yaani kule palipochongoka paelekee chini na wakati huo ukiwa unasema wewe Dragon ninapokupitisha humu ndipo nataka ulinde.
Baada ya kumaliza zoezi hilo tunza fimbo yako.

6. Kutoa mapepo:-
Mkalishe chini mgonjwa unaetaka kumtolea mapepo kisha umfunike kitambaa chekundu kisha uchukue fimbo yako umuwekee katika paji la uso mahali palipo chongoka kisha utaanza kumwamuru pepo huyo,ewe pepo kwanguvu za Dragon nakuunguza moto na nakuamuru upande haraka sana na uende ulikotoka, pepo huyo atapanda na ataondoka tena kwa kelele sana.

7. Kufuta kesi:-
Kama unakesi inakusumbua andika namba ya kesi na jina la mtu anaekushtaki au unaemshtaki na majina hayo utayafunga katika fimbo yako kisha fimbo hiyo isomee jina Ahjazatw, hakika kesi hiyo itamalizika vizuri kama unavyotaka.

8. kuvuta picha katika kioo
Kwanza kabisa utaandaa kioo kipya saizi ya karatasi ya A4 kisha utaandaa na mishumaa miwili myekundu, utakaa katika chumba safi kisha utawasha mishumaa yako na utaiweka pembeni mwa kioo, inamaana kulia mshumaa mmoja na kushoto mmoja na wakati huo kioo kitakua kime kutazama wewe yaani ukitegeshee uwe una jiona ndani ya kioo, na baada ya zoezi hilo kulimaliza utakaa kitako kwa mtindo huu :-
Kisha utaanza kusema ewe Mwenyezi Mungu ulie umba mbingu na ardhi naomba unifunulie nyuma ya pazia na unipe maono ya kuona kila ninacho kihitaji chenye kupendeza na ambacho sio chenye kupendeza.
Kisha utaanza kusoma majina haya mpaka utakapo anza kuona picha ya ulicho kiuliza, lakini kumbuka ya kwamba wakati umekaa mkao huu utakua nayo fimbo yako mikononi yaani utakua umeibana kwa mikono yako yote miwili na wakati huo utakua umewasha udi kila kona ya chumba na uhakikishe umetuliza akili na kwanza kabisa ufanye zoezi la kuvuta pumzi mara 9.
Majina ya kusoma ni haya Beduhi Ahjazatwi. Na ukisoma majina haya ni lazima useme ewe Dragon nakuamuru uje na unionyeshe ninacho kitaka kwa nguvu za majina haya matukufu.
Na baada ya kumaliza kuona unachokitaka utasema asante kwa kuitikia wito wangu nawaomba muende kwa amani.

9. Kumtibu mtu akiwa mbali:-
Chukua majina ya unaetaka kumtibu na uyafunge katika fimbo yako na utasema manuizi yako kwa unaetaka kumtibu, lakini kumbuka ukisha ifunga hutakiwi hiyo fimbo kuitumia tena sababu kiumbe alie ndani ya fimbo atakua kasafiri kwenda mahali husika.

10. Kuvuta madini:-
Chukua fimbo yako na utie maji ndani ya glasi ya maji kisha anza kuzungusha fimbo yako ndani glasi huku ukisema wewe Dragon unamiliki madini na mali nakuomba maji haya yatakapotiwa ndani ya shimo la dhahabu basi dhahabu ipande juu, kisha maji hayo kayamwage ndani ya shimo mnapo chimba, hakika mtaona maajabu.
Lakini kumbuka kuna uwezekano mkubwa wa kukuta joka ndani ya shimo msiogope hiyo ni kawaida mkiingia atawapisha.
Na kazi siku mkiifanya washeni udi katika shimo hilo na muondoke siku hiyo msifanye kazi ya kuchimba, ingieni kesho yake.
11. kumtega adui.
Kama kuna mtu ana kusumbua na unajua njia anayo pitia basi chukua fimbo hii na uchole msitali njiani mahali ambapo unajua atapita kisha nuia unataka nini kimpate.
Hakika akiluka maeneo hayo lazima azulike.

12.kutumika kucholea penta gram
Fimbo hii hutumika kucholea penta gram ya kuzibiti jinni wa aina yoyote na kumuamulu unacho kitaka na atakutii, na fimbo hii pia hutumika katika kuita viumbe wa aina yoyote na kuwaamuru tena kwa lazima na ukiita kiumbe ukawa na fimbo hii mkononi hakika atakuja kwa unyenyekevu wa hali ya juu kabisa.
Kifupi ni kwamba fimbo hii inafanya kila aina ya kazi utakayo taka kuifanya kikubwa ni imani.

PIA USIKOSE VITABU VYANGU KWA AJILI YA KUPATA ELIMU ZAIDI YA KUJITATULIA MATATIZO WEWE MWENYEWE.
1.MAAJABU YA ABJEDI NO1
2.MAAJABU YA ABJEDI NO2.
3. MAAJABU YA ABJEDI NO3.
4. AHRALBADRI.
5. MAAJABU YA MAJINA 28 YA BARAHATII NO1.
6. MAAJABU YA MAJINA 28 YA BARAHATII NO2.
7. DUA HAKIMU WA KWELI.
8. DUA INNA ANZALNAHU.
9. DUA MOTO WA YASINI.
10. DUA YA MNYONGE.
11. DUA YENYE MAJIBU YA HARAKA.
12. ELIMU YA TIBA NO1.
13. ELIMU YA TIBA NO2.
14. ELIMU YA TIBA NO3.
15. ELIMU YA MAUMBILE.
16. ELIMU YA VIUMBE.
17. FUNGUO NO,1.
18. FUNGUO NO 2.
19. HABARI ZA SAA.
20. HADITHI YA JINI MAIMUNA NA KIJANA HAJI.
21. TAFSIRI YA JUZU AMMA.
22. KISA CHA NABII MUSA.
23. ELIMU YA MITI SHAMBA NO1.
24. ELIMU YA MITI SHAMBA NO2.
25. JITIBU KWA KUTUMIA MATUNDA NA MBOGA MBOGA.
26. UFUGAJI WA KUKU.
27. MAAJABU YA YASINI NO1.
28. MAAJABU YA YASINI NO2.
29. MADAWA NO1.
30. MADAWA NO2.
31. MADAWA NO3.
32. MAGONJWA YA KINA MAMA NA TIBA ZAKE.
33. MAFUTA YA AJABU.
34. MAAJABU YA MAJINA 99 YA ALLAH.
34. MAAJABU YA MISHUMAA NA UDI.
35. MIJARUBATI BIN HAJI NO1.
36. MIJARUBATI BIN HAJI NO2.
37. MIJARUBATI BIN HAJI NO3.
38. MSUKULE.
39. TAFSIRI ZA NDOTO NO1.
40. TAFSIRI ZA NDOTO NO2.
41. TAFSIRI ZA NDOTO NO3.
42. MAMA AJIFUNGUA NYOKA.
43. ELIMU YA NYOTA NO1.
44. ELIMU YA NYOTA NO2.
45. ELIMU YA SHIKERI NO1.
46. ELIMU YA SHIKERI NO2.
47. TIBA ZA SUKARI PRESHA NA MOYO.
48.  TARASIMU ZA AJABU NO1.
49. TARASIMU ZA AJABU NO2.
50. TIBA ZA MAGONJWA YA KICHAWI NO1.
51. TIBA ZA MAGONJWA YA KICHAWI NO2.
52. MAAJABU YA SURAT WAQIA.
53. MADAWA MCHANGANYIKO.
53. HADITHI MAHABA NIUE.
54. MAAJABU YA MNANAA.
55. HADITHI YA MWANA MALUNDI.
56. TIBA NYEPESI.
57. MAAJABU YA QORAAN.
58. ELIMU YA SAYARI.
59. TIBA ZA NGUVU ZA KIUME.
60. UCHAWI WA ZAMANI NO1.
61. UCHAWI WA ZAMANI NO2.
62. UCHAWI WA ZAMANI NO3.
63. UCHAWI WA ZAMANI NO4.
64. ELIMU DUNIA.
65. TIBA ZA KALE.

KWA DAR ES SARAM  NAPATIKANA BUGURUNI MALAPA UKISHUKA ULIZA KAMPUNI YA ULINZI YA TURU: NIKO JENGO HILO HILO.
ZAIDI WASILIANA NA DR.HAJI KWA SIMU NO 0657,555550/0767,393934/Au tembelea blog yangu, drbabuhaji.blogspot.com
facebook  nitafute kwa: babu drhaji
Instagram nitafute kwa: babu.haji.7771
au tembelea youtube kupata elimu zaidi, andika babu haji.
Au piga namba ya ofisi inayopatikana masaa 24:
0657958982.

UKITAKA KUIPA NGUVU FIMBO HII ICHINJIE JOGOO MWEKUNDU KWA NIA YA KUIPA NGUVU

1 comment:

  1. UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI

    (Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajili ni azina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)


    MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

    ReplyDelete