YALIYOMO
(1)
UGONJWA WA KISUKARI NA DALILI ZAKE.
(2)
MATIBABU YA UGONJWA WA KISUKARI.
(3)
MADHARA YA UGONNJWA KISUKARI.
(4)
UGONJWA WA MOYO.
(5)
MOYO KUTANUKA.
(6)
SABABU ZA MOYO KUTANUKA.
(7)
DALILI ZA MOYO KUTANUKA.
(8)
MADHARA YA MOYO KUTANUKA.
(9)
JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA MOYO KUTANUKA.
(10)
UGONJWA WA PRESHA.
(11)
DALILI ZA MTU MWENYE PRESHA YA KUSHUKA.
(12)
SABABU ZA PRESHA YA KUSHUKA.
(13)
VYAKULA VINAVYOSAIDIA PRESHA YA KUSHUKA.
(14)
HUDUMA YA KWANZA-KUOGA MAJI YA CHUMVI.
(15)
VIRUTUBISHO KAMA TIBA YA PRESHA YA KUSHUKA.
(16)
DAWA YA PRESHA YA KUSHUKA.
(17)
PRESHA YA KUPANDA.
(18)
SABABU ZA PRESHA YA KUPANDA.
(19)
DALILI ZA PRESHA YA KUPANDA.
(20)
DAWA KUTIBU PRESHA YA KUPANDA.
(21)
HITIMISHO.
UGONJWA WA KISUKARI
NA DALILI ZAKE.
Kisukari ni mojawapo
ya magonjwa ya mmeng’enyo ambayo husababisha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha
sukari katika damu kwa muda mrefu. Dalili kuu za ugonjwa huu ni kukojoa mara
kwa mara isivyo kawaida, hususan nyakati za usiku, kuhisi kiu ya maji, mwili
kuchoka, kupungua uzito wa mwili na misuli, kupata muwasho katika viungo vya
uzazi, majeraha ya kujikata na kuumia yanayopona taratibu na kutokuona vizuri
kwa sababu ya ukavu wa
macho.
macho.
Kuna aina tatu za
ugonjwa huu nazo ni kisukari aina ya 1, kisukari aina ya 2, na kisukari wakati
wa ujauzito.
Kisukari aina ya 1 ni
ugonjwa ambao mwili hautengenezi homoni ya insulini.
Ugonjwa huu mtu
huweza kuupata katika umri mdogo na pia mtu anaweza kuupata ugonjwa huu hadi
anapofikia umri wa miaka arobaini.
Ni asilimia ndogo ya
idadi ya watu hupata ugonjwa huu wa kisukari aina ya 1.
Wagonjwa wenye
kisukari aina ya 1 wanahitajika kutumia aina ya insulini ya kuchoma kwa sindano
kwa maisha yao yote.
Na ni lazima wawe na
utaratibu wa kupima kiwango cha sukari katika damu mara kwa mara pamoja na
kuzingatia mlo maalum ili kuepuka kiwango cha juu cha sukari katika damu.
Kisukari aina ya 2 ni
ugonjwa ambao mwili wa mgonjwa hautengenezi homoni ya insulini ya kutosha
kwa ajili ya kurekebisha sukari, au seli za mwili za mgonjwa zinakuwa
zimepungua au hazina hisia dhidi ya homoni ya insulini na kushindwa kuchukua
sukari kutoka katika damu ili iweze kumeng’enywa na kutengeneza nishati au
kuhifadhiwa mwilini (hujulikana pia kama usugu wa insulini). Kadirio la
90% ya wagonjwa wa kisukari wana aina hii ya ugonjwa.
Baadhi ya watu
wanaweza kumudu aina hii ya 2 ya kisukari kwa kupunguza uzito, kula mlo
sahihi (healthy diet), kufanya mazoezi pamoja na upimaji wa kiwango cha
sukari katika damu.Mbali na mazoezi na kuzingatia mlo sahihi, aina hii ya
ugonjwa hutibiwa kwa kutumia dawa za vidonge vya kumeza ambavyo husaidia
ufanyaji kazi wa homoni ya insulini.
Aina ya pili ya
kisukari isipotibiwa ugonjwa waweza kuendelea na kuwa sugu na hapo mgonjwa
huitaji kupewa homoni ya insulini.
Wale walio na uzito
mkubwa au uzito mkubwa kupindukia(obesity), wako katika hatari ya kupata
ugonjwa wa kisukari aina ya 2 ukilinganisha na wale walio na uzito wa kawaida.
Watu walio na mkusanyiko wa mafuta mwilini, mafuta katika tumbo (kitambi)
wako katika hatari ya kupata ugonjwa.
Kuwa na uzito mkubwa
au uzito wa kupindukia husababisha mwili kutengeneza kemikali zinazoathiri
mishipa ya damu na moyo, pia huathiri mfumo wa mmeng’enyo.
Kuwa na uzito
mkubwa,au kutoshiriki kazi za kuupa mwili mazoezi ya kutosha, pamoja na kula
bila mpangilio kunaiweka miili yetu katika hatari ya kupata aina hii ya 2 ya
kisukari. Mfano unywaji wa vinjwaji baridi vyenye sukari kama soda kila siku,
unaongeza hatari hiyo. Wanasayansi wanaamini kuwa athari ya sukari katika
vinywaji baridi yaweza kuwa ya moja kwa moja, zaidi ya kuongeza uzito wa mwili.
Katika utafiti mmoja
huko nchini Uingereza, ulionyesha kuwa wanaume wenye kiwango kidogo cha homoni
ya testosterone walikuwa katika hatari ya kupata aina ya 2 ya kisukari.
Aina ya 3 ni kisukari wakati wa ujauzito (kitaalam hujulikana kama gestational diabetes),ugonjwa huwaathiri wanawake wakati wa ujauzito.Katika kipindi cha ujauzito baadhi ya kinamama huwa na kiwango kikubwa cha sukari katika damu na kuifanya homoni ya insulini kushindwa kumudu sukari hiyo kuchukuliwa na seli za mwili na kupelekea kuendelea kuongezeka kwa kiwango cha sukari katika damu.
Uchunguzi hufanyika
wakati wa ujauzito, na wagonjwa wengi wa aina hii huweza kutibiwa kwa kufanya
mazoezi pamoja na kuzingatia mlo sahihi. Asilimia ndogo ya wagonjwa ambao njia
ya awali ya kutibu itashindikana, kiwango cha sukari hupunguzwa kwa
kutumia dawa za vidonge za kumeza. Na endapo kisukari hakitagundulika au
hakitatibiwa wakati wa ujauzito kutapelea matatizo wakati wa kujifungua.Mtoto
anaweza kuwa mkubwa zaidi ya kawaida na kumsababishia mama matatizo. Watafiti
waligundua kuwa, kina mama walao kiasi kikubwa cha
mafuta yatokanayo wanyama na lehemu kabla ya ujauzito wanakuwa katika hatari ya kupata kisukari wakati wa ujauzito ukilinganisha na wakinama wanaokula kiwango kidogo cha mafuta ya wanyama na lehemu.
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
1. Kiu ya mara kwa mara.
2. Kupungua uzito licha ya kula vizuri.
3. Njaa kali na ya mara kwa mara.
4. Jasho jingi.
5. Uchovu usioeleweka hata bila kufanya kazi.
6. Kizunguzungu.
7. Macho kupungua uwezo wa kuona.
8. Kidonda kisichopona haraka.
9. Kukojoa mara kwa mara.
10.
Fangasi za miguu zisizo pona.
11.
Kidonda ndugu.
12.
Nywele kuteleza au kua laini.
13.
Kuhisi kiu mara kwa mara.
Matibabu.
Kisukari aina ya 1 ni aina ambayo mtu huishi na ugonjwa kwa maisha
yote na mpaka sasa hakuna tiba inayojulikana kuondoa ugonjwa. Aina ya 2 ni ile
ambayo huweza kudumu kwa maisha yote, lakini mgonjwa anaweza kuondokana na
dalili za ugonjwa kwa kutumia dawa,mazoezi pamoja na mlo sahihi. Baadhi ya watu
wameweza kumudu kuondokana na dalili za ugonjwa bila kutumia dawa kwa aina hii
ya 2, na hii imewezekana kwa kutumia mazoezi,mlo sahihi na kudhibiti uzito wa
mwili.
Wagonjwa wenye aina ya kwanza ya kisukari hutibiwa kiwango cha sukari katika damu kwa kutumia homoni ya insulini kwa njia ya kuchoma sindano, pamoja na mlo sahihi na mazoezi. Wagonjwa wenye aina ya 2 pili hutibiwa kwa dawa za vidonge lakini wakati mwingine hata homoni ya insulini hutumika.
Ni muhimu kiwango cha
sukari katika damu kutokuwa juu isivyo kawaida ili kuepuka madhara kwa mgonjwa.
Yafuatayo ni madhara awezayo pata mgonjwa endapo hatatibiwa kisukari.
- Matatizo ya moyo-kuziba kwa mishipa ya damu
ya kwenye moyo na kupunguza mzunguko wa damu kwenye misuli ya moyo (ischemic
heart diseases).
- Shinikizo la juu la damu-ni kawaida kwa watu
wenye ugonjwa sugu wa kisukari na huweza kupelekea hatari ya kupata
magonjwa ya figo,macho, shambulizi la moyo na kiharusi.
- Kuathirika afya ya akili-Ugonjwa wa kisukari
usipotibiwa, mgonjwa anaweza kupata matatizo ya msongo wa mawaza,sononi ,
wasiwasi na hata magonjwa mengine ya akili.
- Magonjwa ya fizi-ugonjwa umekuwa
ukiwashambulia zaidi wale wenye kisukari.
- Kupoteza uwezo wa kusikia.
- Magonjwa ya uambukizi ya ngozi.
- Matatizo ya miguu- vidonda visivyopona,
miguu kuwaka moto(peripheral neuropathy).
- Matatizo ya macho.
- Matatizo ya tumbo.
- Mkusanyiko wa tindikali katika damu.
- Kuathirika kwa mishipa ya fahamu.
- Tatizo la nguvu za kiume.
Katika nyakati hizi
kuna ongezeko la wagonjwa wengi wanaougua maradhi ya kisukari ukilinganisha na
miaka ya nyuma. Hii inachangiwa na kubadilika kwa mfumo wa maisha. Ni vyema
basi kuhakikisha kuwa unaonana na wataalam wa afya mapema endapo utapata dalili
za ugonjwa huu ili kuudhibiti na kuepuka madhara yatokanayo na ugonjwa wa
kisukari.
MADHARA YA UGONJWA WA KISUKARI
Endapo ugonjwa wa kisukari utapuuzwa au kutotibiwa inavyostahili
madhara mengi yanaweza kujitokeza na yanatokana na kiwango cha sukari
kuwa juu mwilini.
Utapata maradhi yafuatayo
- Magonjwa ya moyo
- Kiharusi
- Kupungua nguvu za
kiume
- Figo kushindwa
kufanya kazi
- upofu
Ni matumaini yangu wewe msomaji umenufaika na hili somo na pia
utanufaishaisha familia na jamii iliokuzunguka.
Kama hujapata huu ugonjwa ni muhimu kuepuka unene uliozidi kwa kula
lishe nzuri na ya kiasi, epuka pombe, msongo wa mawazo, pombe na uvutaji
wa sigara na la muhimu zaidi ni mazoezi ya viungo .
Tunashauriwa kupima kama tuna ugonjwa wa kisukari kila mwaka, hivyo
basi nenda mapema ili kuepuka madhara.
MOYO KUTANUKA
Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika
mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka
hupelekea baadhi ya sehemu
kwenye misuri ya moyo
kutokufikiwa na damu, hivyo
kusababisha tundu kwenye moyo au
kidonda cha moyo na baadaye
SABABU ZA MOYO KUTANUKA
Vifuatazo ni visababishi vya moyo
kupanuka;-
1. mafuta katika damu.
2. cholesterol/ lehemu.
3. sumu mwilini.
4. ukosefu wa protini.
5. msongo wa mawazo.
6. magonjwa ya muda mrefu.
7. shinikizo la juu la damu.
Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika
mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka
hupelekea baadhi ya sehemu
kwenye misuri ya moyo
kutokufikiwa na damu, hivyo
kusababisha tundu kwenye moyo au
kidonda cha moyo na baadaye
SABABU ZA MOYO KUTANUKA
Vifuatazo ni visababishi vya moyo
kupanuka;-
1. mafuta katika damu.
2. cholesterol/ lehemu.
3. sumu mwilini.
4. ukosefu wa protini.
5. msongo wa mawazo.
6. magonjwa ya muda mrefu.
7. shinikizo la juu la damu.
DALILI ZA MOYO KUTANUKA
Ili utambue moyo uliokwisha
kupanuka ni muhimu kuzijua dalili
zifuatazo;-
mapigo ya moyo kwenda kasi mara kadhaa.
moyo kulipuka mara kwa mara.
kuhisi hali ya mwili kunyong'onyea/ kupoteza nguvu.
miguu kuwa baridi au kufa ganzi.
wakati mwingine vidole kufa ganzi na kukakamaa.
maumivu kwenye moyo (heart pain).
vichomi na kifua kubana.
maumivu kwenye chemba ya moyo.
MADHARA YA MOYO KUTANUKA
Yafuatayo ni madhara ya moyo
uliopanuka;.-
kuvimba miguu.
miguu kufa ganzi.
kuparalaizi/stroke.
kidonda kwenye moyo.
usipotibu na kuchukua tahadhari.
mapema husababisha vifo.
JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI
1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai,
maziwa ambavyo huongeza mafuta kwa wingi.
2. usile vyakula vya kusindikwa
vina kemikali na lehemu nyingi.
3. epuka mafuta ya korie, ok na
yote yatokanayo na wanyama.
1. Kuepuka ulaji wa nyama, mayai,
maziwa ambavyo huongeza mafuta kwa wingi.
2. usile vyakula vya kusindikwa
vina kemikali na lehemu nyingi.
3. epuka mafuta ya korie, ok na
yote yatokanayo na wanyama.
4. tumia mafuta ya mimea kama
alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila
kwa kiasi kidogo.
5. punguza msongo wa mawazo,
fanya mazoezi kwa muda wa dakika
30 kwa siku asubuhi na jioni
6. kula mboga za majani kwa wingi.
7. usitumie sukari, na chumvi
isitumike kwa wingi.
alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila
kwa kiasi kidogo.
5. punguza msongo wa mawazo,
fanya mazoezi kwa muda wa dakika
30 kwa siku asubuhi na jioni
6. kula mboga za majani kwa wingi.
7. usitumie sukari, na chumvi
isitumike kwa wingi.
UGONJWA WA
PRESHA
Ugonjwa wa
presha umegawanyika katika makundi mawili:
1.Presha ya kushuka.
2.Presha ya kupanda.
DALILI ZA MTU MWENYE PRESHA YA KUSHUKA
Mtu mwenye ugonjwa wa presha ya kushuka mara kwa mara husumbuliwa na uchovu, mwili kukosa nguvu, kuwa mnyonge na kusikia kizunguzungu. Hali hii hutokea baada ya mzunguruko wa damu kwenye mishipa kuwa mdogo kutokana na kupungua kwa msukumo wa damu hivyo viungo kama moyo, ubongo na viungo vingine kupungukiwa au kukosa damu kabisa.
Mtu mwenye ugonjwa wa presha ya kushuka mara kwa mara husumbuliwa na uchovu, mwili kukosa nguvu, kuwa mnyonge na kusikia kizunguzungu. Hali hii hutokea baada ya mzunguruko wa damu kwenye mishipa kuwa mdogo kutokana na kupungua kwa msukumo wa damu hivyo viungo kama moyo, ubongo na viungo vingine kupungukiwa au kukosa damu kabisa.
SABABU ZA PRESHA YA KUSHUKA
Kwa mujibu wa wataalamu wetu wa masuala ya lishe, sababu kubwa inayochangia ugonjwa huu ni ukosefu wa virutubisho mwilini kunakosababishwa na ulaji usio sahaihi. Mtu anapokuwa na upungufu wa protini, vitamin C au moja kati ya Vitamin B hupatwa na tatizo hili.
Kwa mujibu wa wataalamu wetu wa masuala ya lishe, sababu kubwa inayochangia ugonjwa huu ni ukosefu wa virutubisho mwilini kunakosababishwa na ulaji usio sahaihi. Mtu anapokuwa na upungufu wa protini, vitamin C au moja kati ya Vitamin B hupatwa na tatizo hili.
Aidha, ugonjwa wa presha ya kushuka, wakati mwingine
husababishwa na kuvuja taratibu kwa damu mwilini kupitia kwenye utumbo, figo au
kibofu. Mbali na matatizo hayo, pia hasira, kupatwa na
msongo wa maisha na mawazo mengi, kunaweza kusababisha presha ya kushuka pia.
VYAKULA VINAVYOSAIDIA PRESHA YA KUSHUKA
Kwa mujibu wa watatifi wa vyakula, wamegundua kuwa juisi ya Bitiruti (beetroot) ina saidia sana mgonjwa anayesumbuliwa na ugonjwa huu. Bitiruti ni aina fulani ya viazi pori ambavyo vinapatikana kwenye masoko mbalimbali nchini.
Kwa mujibu wa watatifi wa vyakula, wamegundua kuwa juisi ya Bitiruti (beetroot) ina saidia sana mgonjwa anayesumbuliwa na ugonjwa huu. Bitiruti ni aina fulani ya viazi pori ambavyo vinapatikana kwenye masoko mbalimbali nchini.
Mgonjwa
anashauriwa kutengeneza na kunywa kikombe kimoja cha juisi hiyo kutwa mara
mbilli na anaweza kuona mabadiliko ndani ya wiki moja tu.
KUOGA MAJI YA CHUMVI
Dawa nyingine inayoweza kutoa nafuu na ya haraka kwa mgonjwa wa presha ya kushuka ni kuoga kwa kujiloweka kwenye maji ya chumvi maalum. Chukua kilo moja na nusu ya chumvi, kisha weka kwenye beseni kubwa la maji ya uvuguvugu, koroga kisha ingia ndani ya beseni hilo na ukae kwa dakika 10 hadi 20. Fanya hivyo muda mfupi kabla ya kwenda kulala na usipatwe na baridi.
VIRUTUBISHO KAMA TIBA
Protini, Vitamin C na Vitamin zote za kundi B, vimeonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa kinga au ahueni kwa wagonjwa wa presha ya kushuka. Mlo kamili wowote ulioshehemi vitamini B na virutubisho vingine, ni muhimu kuliwa na mgonjwa wa presha ya kushuka mara kwa mara.
Matumizi ya chumvi nyingi kwa mgonjwa wa presha ya kushuka nayo ni muhimu. Mgonjwa anashauriwa kula vyakula vyenye chumvi nyingi. Aidha, anaweza kunywa maji yaliyochanganywa nusu kijiko cha chumvi kila siku, hadi hapo kiwango cha presha yake kitakaporejea katika hali ya kawaida.
Ili kuliondoa tatizo la presha ya kushuka moja kwa moja, mgonjwa wa presha ya kushuka anatakiwa kuzingatia ulaji wa matunda kwa kiasi kikubwa.
KUOGA MAJI YA CHUMVI
Dawa nyingine inayoweza kutoa nafuu na ya haraka kwa mgonjwa wa presha ya kushuka ni kuoga kwa kujiloweka kwenye maji ya chumvi maalum. Chukua kilo moja na nusu ya chumvi, kisha weka kwenye beseni kubwa la maji ya uvuguvugu, koroga kisha ingia ndani ya beseni hilo na ukae kwa dakika 10 hadi 20. Fanya hivyo muda mfupi kabla ya kwenda kulala na usipatwe na baridi.
VIRUTUBISHO KAMA TIBA
Protini, Vitamin C na Vitamin zote za kundi B, vimeonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa kinga au ahueni kwa wagonjwa wa presha ya kushuka. Mlo kamili wowote ulioshehemi vitamini B na virutubisho vingine, ni muhimu kuliwa na mgonjwa wa presha ya kushuka mara kwa mara.
Matumizi ya chumvi nyingi kwa mgonjwa wa presha ya kushuka nayo ni muhimu. Mgonjwa anashauriwa kula vyakula vyenye chumvi nyingi. Aidha, anaweza kunywa maji yaliyochanganywa nusu kijiko cha chumvi kila siku, hadi hapo kiwango cha presha yake kitakaporejea katika hali ya kawaida.
Ili kuliondoa tatizo la presha ya kushuka moja kwa moja, mgonjwa wa presha ya kushuka anatakiwa kuzingatia ulaji wa matunda kwa kiasi kikubwa.
Kwa kuanzia, anatakiwa kula mlo wa matunda-matunda tu kwa
muda wa siku tano mfululizo, huku akila mlo huo mara tatu kwa siku ukipishana
kwa umbali wa masaa matano.
Baada ya hapo, mgonjwa huyo anaweza kubadilisha mlo na ukawa wa matunda na maziwa kwa muda wa wiki mbili hadi tatu.
Baada ya hapo, mgonjwa huyo anaweza kubadilisha mlo na ukawa wa matunda na maziwa kwa muda wa wiki mbili hadi tatu.
Na baada ya hapo,
anatakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula asilia vyenye virutubisho vya kutosha ili
kuimarisha mfumo wa damu mwilini. Na hii ndiyo iwe staili yake ya maisha kila
siku, bila kusahau mazoezi mepesi mepesi, yakiwemo yale ya kuvuta pumzi na
kushusha.
DAWA YA PRESHA YA KUSHUKA.
(1)
habat souda ya unga.
(2)
majani ya zambalau.
(3)
majani ya kahawa, au mbegu zake.
(4)
maganda ya tunda la mkoma manga.
(5)
matunda ya ubuyu.
(6)
majani ya mlonge.
changanya pamoja
dawa hii na utumie katika kahawa ujazo
wa kijiko kidogo cha chai 1x3 kwa kutwa kwa mda wa siku 14 inshallah mwenyezi
mungu ata kuponya.
PRESHA YA
KUPANDA
TATIZO LA PRESHA
Moyo wako kazi yake ni kusukuma damu katika mwili mzima kupitia mishipa ya ateri na vein
kwa kawaida msukumo wa damu unatakiwa usome mapigo 60 mpaka 100 ndani ya dakika moja
utajua mapigo yako kwa kugusa mshipa wa damu na kuhesabu mapigo ndani ya sekunde kumi
mapigo uliyo yapata zidisha mara sita kisha linganisha kiwango tajwa hapo juu sasa ikiwa msukumo wako upo chini 60 basi una tatizo la pressure kushuka yaani HYPOTENSION
SABABU ZAKE huenda ni kusimama mda mrefu, kunyanyuka ghafla baada ya kukaa mda mrefu ama kuwa na hali yoyote inayozuia kuzunguka kwa damu ipasavo, kutokunywa maji
DALILI ZAKE NI
kutokuona vizuri. kusikia kichwa chepesi. kusikia kizunguzungu. kichefuchefu. kutokwa na jasho.
Moyo wako kazi yake ni kusukuma damu katika mwili mzima kupitia mishipa ya ateri na vein
kwa kawaida msukumo wa damu unatakiwa usome mapigo 60 mpaka 100 ndani ya dakika moja
utajua mapigo yako kwa kugusa mshipa wa damu na kuhesabu mapigo ndani ya sekunde kumi
mapigo uliyo yapata zidisha mara sita kisha linganisha kiwango tajwa hapo juu sasa ikiwa msukumo wako upo chini 60 basi una tatizo la pressure kushuka yaani HYPOTENSION
SABABU ZAKE huenda ni kusimama mda mrefu, kunyanyuka ghafla baada ya kukaa mda mrefu ama kuwa na hali yoyote inayozuia kuzunguka kwa damu ipasavo, kutokunywa maji
DALILI ZAKE NI
kutokuona vizuri. kusikia kichwa chepesi. kusikia kizunguzungu. kichefuchefu. kutokwa na jasho.
kuumwa kichwa haswa.
mkojo katika damu.
maumivu ya
kifua.
mapigo ya
moyo yasiyo ya kawaida.
kutokujielewa.
kupumua kwa tabu.
Ikiwa MSUKUMO wako wa DAMU ni zaidi ya 100 kwa dakika basi jua una tatizo la PRESSURE YA KUPANDA
SABABU zake hazijajulikana ila kuna mambo yanayopelekea hali hii kutokea ikiwa ni pamoja na uvutaji wa sigara, unene na kitambi, kuto kufanya mazoezi, chumvi ilio kithiri kwenye chakula, matatizo sugu ya figo,unywaji wa pombe, mawazo, uvutaji sigara
DAWA ZA KUTIBU PRESHA YA KUPANDA:
habati sauda.
sufa nyekundu.
sufa nyeupe.
harmal na kistwi.
changanya pamoja ujazo wa vijiko viwili . kisha chukua ujazo wa kijiko kidogo weka katika uji wa ulezi au mtama kunywa mara mbili kwa siku 11, inshaa Allah utapona.
KITABU HIKI
KIMETUNGWA NA KUANDIKWA NA DR. HAJI a.k.a BABU MTAALAMU WA TIBA ASILI TANZANIA.
ANATIBU MARADHI MBALI MBALI KAMA VILE, KISUKARI.
PRESHA.
VIDONDA VYA TUMBO. MIGUU
KUUMA, KUWAKA MOTO.
MATATIZO YA AKILI
(VICHAA).
BAWASIRI.
KUFUKUZA
MAPEPO.
KUFUNGUA
VIFUNGO VYA KICHAWI.
NGUVU ZA KIUME.
UZAZI.
UVIMBE
TUMBONI.
KUMUITA ALIE MBALI.
KUSAFISHA
NYOTA.
MVUTO
KATIKA BIASHARA.
KUTOA MIKOSI KATIKA MWILI,NK.
PIA NINAYO MAFUTA YA
AJABU YAITWAYO RADI, NIMAFUTA YENYE UWEZO WA KUTIBU KILA MARADHI NA KUFUKUZA
MAJINI AINA ZITE PIA MAFUTA HAYA YANA MVUTO WA AJABU KATIKA MWILI PIA KATIKA
BIASHARA NA KUFUKUZA UBAYA KATIKA MJI,NK.
PIA USIKOSE VITABU
VYANGU VINGINE KWA AJILI YA KUPATA ELIMU
ZAIDI YA KUJI TATULIA MATATIZO WEWE MWENYEWE.
1.KITABU CHA TAFSIRI ZA NDOTO.
2.KITABU CHA ELIMU YA NYOTA.
3.KITABU CHA MAAJABU YA YASINI.
4.MAAJABU
YA INNA ANZALNAHU.
5.KITABU CHA UFUNGUO.
6.MAAJABU YA MAJINA 28 YA BARAHATIH. 7.MAAJABU
YA MISHUMAA NA UDI.
8.KITABU
CHA MADAWA MBALI MBALI.
9.KITABU CHA MJARUBATI BIN HAJI. 10.KITABU
CHA MITI SABA YENYE UWEZO WA KUTIBU KILA
MARADHI.
11.KITABU
CHA MAFUTA YA AJABU YENYE UWEZO WA KUTIBU MARADHI MENGI NA KUFUKUZA
MAJINI.
12.KITABU
CHA UFUGAJI WA KUKU.
13.MAMA AJIFUNGUA NYOKA BAADA YA KUOMBEWA NA MCHUNGAJI.
14.KITABU CHA MADAWA NAMBA MBILI.
15.KITABU CHA MAGONJWA
YA MOYO, PRESHA NA KISUKARI(dalili zake na tiba zake).
16.KITABU CHA HADITHI YA JINI MAIMUNA NA
KIJANA HAJI UJININI.
17.KITABU CHA MAUMBILE NA MAANA ZAKE.
18.KITABU CHA WATAMBUE MAJINI NA DALILI
ZAKE.
19.KITABU CHA NGUVU ZA KIUME NA HISIA NA
UZAZI.
EE MOLA WANGU ULIE
UMBA MBINGU NA ARDHI NAKUOMBA UTUKINGE NA MABALAA YATOKANAYO NA MAJINI NA
BINADAMU NA UTUJALIE AFYA NA SALAMA YAA SALAMU ILI TUWEZE KUKUSHUKURU NA
KUKUABUDU NA UTUJAALIE MIONGONI MWA WAJA WAKO WEMA YA ALLAH.
ZAIDI WASILIANA NA
DR.HAJI KWA SIMU NO 0657,555550/767,393934/685,393934. Au tembelea blog,
PIA VITABU VYANGU VINAPATIKANA MADUKANI KWANGU KALIAKOO MKABALA NA MSIKITI WA IDRISA UTAONA DUKA LIMEANDIKWA BABU HAJI DUKA LA VITABU
Haji nashukuru kwa vitabu vyako ila nataka kuonana Na wewe
ReplyDeleteHabar mim nipo mbeya nawezaje kupata kitabu cha maelezo kuhusu ugunjwa wa moyo na tiba zake
ReplyDelete