MAAJABU YA MAMA KUJIFUNGUA NYOKA - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Monday, March 25, 2019

MAAJABU YA MAMA KUJIFUNGUA NYOKA



Hujambo ndugu msomaji wa kitabu hiki?                                                                          Kwanza napenda kumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa kunipa afya na uhai na uwezo wa kukufikishia habari hizi za vituko makanisani.
Ndugu msomaji mimi ninaitwa HAJI FIDELIS nimezaliwa na nimekulia katika ukristo na dini yangu ilikuwa ni  A.I.C na baada ya kukua nilihamia katika kanisa la sabato na baadae nilihamia Roman Catholic.
Katika pitapita zangu nilikutana na Mzee mmoja alikua anaitwa MWINYI HAJI huko Mwanza ndipo aliponishawishi na kuniambia nisilimu.Katika kunishawishi huko alinisomea baadhi ya vifungu katika Biblia ambavyo sikuwahi kuvisikia hapo mwanzo na ndipo niliamua kubadilisha dini na kuwa Muislam.
Baada ya muda kulitokea msiba nyumbani hivyo ilinilazimu kufunga safari kuelekea nyumbani kuhudhuria msiba.Katika safari hiyo nilivaa vazi aina ya KANZU na mama aliponiona katika vazi lile hakupendezewa kabisa kwa sababu yeye alikua Mlokole kwenye dhehebu moja linaloitwa NENO na mtume wa dhehebu hilo anaitwa BRANIHAM wa huko Uingereza.
Mama alisikitika sana akasema mwanangu umepotea maana umeingia  kwenye  dini za majini. Lakini mimi nilimjibu mama na kumwambia kwamba kwa sasa nimeshaujua ukweli ulipo na ni jukumu langu kuufuata ninapouona.
Kwanza kabisa kabla sijaingia katika uislamu nilikua nimetokea katika hilo kanisa la NENO ambalo alikua akisali mama. Katika kanisa hilo kulikua na mchungaji mmoja aliekua akiitwa MALINDI.
Mchungaji huyo alikua na wanawake wawili na baadae alimuoa mdogo wangu anaenifuata kwa kuzaliwa na hivyo kutimiza idadi ya wanawake watatu.
Katika kanisa hilo ambalo lipo katika wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza niliona mihujiza mingi sana nilishuhudia utabiri wa hali ya juu ambao ulikua anafanyika.
Pia malaika wa Mungu walikua wanashuka na watu wananena kwa lugha ambayo hata haijulikani asili yake au ni ya kabila gani, mwisho na mimi huyo malaika alinishukia na nikanena kwa lugha ambayo kwa sikuijua na nilikua natokwa na machozi mengi na sikujua nilikua nalilia nini.
Siku hiyo karibu kanisa zima tulinena kwa lugha na wengine wakaanza kutabiriana na kupeana onyo n.k
Sasa kitu cha kushangaza nilipo lala usiku aliniijia dada mmoja katika usingizi nakuanza kuniambia kwamba baada ya kufunga na kufanya maombi sasa nimekuja nataka nikupe nguvu za uponyaji je uko tayari? Nilimjibu nikamwambia nipo tayari lakini napenda na mimi niwe na kanisa langu nae akanijibu akasema usijali kila kitu utakachoomba utapata kama utakubali masharti yangu.
Na mimi nilimuuliza masharti gani hayo? alinijibu akasema nataka ufunge siku saba na usikae nyumbani utakaa huko porini na ukitoka huko utakua na nguvu za ajabu lakini kumbuka huko utakapokua utapata majaribu mengi inatakiwa uwe unasema maneno yafuatayo, ooolalalalalalaaaa babababababa bakunturu na bashantara oorererereeee na ukitaja maneno hayo nami nitakuja kukupa msaada na baada ya hapo nilistuka usingizini sikulala tena, kulipokucha ilinibidi nimweleze mama kuhusu ndoto niliyoota  mama akasema ‘’tukienda kanisani utamsimulia mchungaji’’.
Ilipofika siku ya jumapili tulienda kanisani mimi na mama pamoja na kaka yangu  anaeitwa Fanueli na tulipofika kanisani ibaada iliendelea kama kawaida na miongoni mwetu mama mmoja alipandisha jini ambaye wao walidai ni malaika wa mwenyezi mungu na akaanza kunena kwa lugha akaanza kunitabilia akasema Faustini kuna ndoto umeiota na ndoto hiyo imetoka kwa bwana na utakuja kua mchungaji mkubwa sana lakini unatakiwa ununue bakora uilete kwa mchungaji aiombee, fimbo hiyo ndiyo itakayokusaidia katika vita ya kumkanyaga shetani.
Niposkia habari za kununua fimbo nilishtuka sana ila sikusema neno maana bwana kasema. Baada ya muda mahubiri yaliisha tukaimba pambio moja  tukasali kisha tukatoka nje.
Wakati bado tuko nje mama yangu alinifuata akaniambia ‘’twende ukamsimulie mchungaji ndoto uliyoota’’,niliongozana na mama hadi ofisini kwa mchungaji lakini hatukuweza kuingia moja kwa moja ilibidi tukae nje kwenye benchi tukimsubiri mchungaji maana alikua na wageni ndani wana mazungumzo,  baada ya muda wale wageni walitoka na sisi tukaingia na bila kusita nilianza kumsimulia mchungaji ndoto niliyoota mchungaji alitoa jibu moja akasema kwa hakika ndoto yako ni ya utukufu sana utakuja kua mtu mkubwa sana na utaponya watu pia utafanya miujizamingi na mikubwa, bahati nzuri nina safari ya kwenda Nairobi hivyo itabidi twende wote ili ukaombewe ili uzidi kupata nguvuna ulinzi zaidi kutoka kwa bwana na pia ukapate somo la utakatifu.
Maongezi yalipoisha tulimuaga mchungaji na tukaanza safari ya kurudi nyumbani, jum pili iliyofata mchungaji aliomba mchango kwa waumini kwa ajili ya nauli yetu mimi na yeye kuelekea Nairobi.  Michango ilichangwa kwa wingi na mchungaji alishukuru waumini kwa mchango wao nae aliwatangazia kuwa wiki iliyokuwa inafata tungeanza safari ya kwenda Nairobi hivyo watuombee tuende na turudi salama.
Baada ya kumaliza ibaada mchungaji aliniita akaniambia nijiandae jumatano tutaondoka, nilifurahi sana maana nilijua naenda kupata utukufu wa bwana.
Ilipofika jumatano tulianza safari kuelekea Nairobi na tulifika usiku tulichukua chumba hoteli moja maarufu katika jiji lile tukalala mpaka asubuhi tulipoanza tena safari kuelekea kwa mchungaji [mwenyeji wetu] ambae alikua anaishi kando kidogo ya jiji la Nairobo, tulipofika tulipokelewa na mlinzi kwa furaha sana maana walikua wakifahamiana na mchungaji Malindi na alitupeleka hadi katika chumba alichokua mchungaji ambae ni mwenyeji wetu alipotuona hakusita kuonyesha furaha yake huku akisema, ‘’nilikua nawasubili kwa hamu sana maana nimewaona siku tatu zilizopita ikabidi niwasubili maana nilikua na safali ya kwenda Nigeria’’.
Mchungaji huyo alikua ni mcheshi sana, aliniuliza jina langu nikamtajia ndipo aliposema hongera sana kwa kupanda cheo bila gharama na mimi nilimjibu nikasema asante, mchungaji Malindi aliniomba nikae nje kidogo niwapishe wana mazungumzo kidogo na bila kusita nilitoka kibarazani ambapo kulikua na kochi, nilikaa hapo muda mrefu huku wao wakiendelea na maongezi  ambayo sikufahamu yanahusiana na nini, baada ya muda, alikuja binti mmoja kunikalibisha chakula hivyo niliinuka nikafuatana nae hadi mezani walipokua wachungaji, tulikaa mesini tukala na baada ya kumaliza kula tulifanya maombi kidogo kisha tukaendelea na mazungumzo mengine ya kawaida hadi ilipofika usiku  tukala chakula cha usiku na baada ya kumaliza kula kama kawaida tulifanya maombi mafupi na baada ya maombi mchungaji ambae alikua ni mwenyeji wetu alisema sasa mjiandae twende kanisani maana somo linaanza saa sita.
Muda ulipofika tulianza safari ya kuelekea kanisani tukiwa na mwenyeji wetu, tulipofika kanisani nilishangaa kuona jengo kubwa sana na nje alikuepo mlinzi ndipo mlinzi alifungua geti kubwa gari likaingia kisha akafunga, tulishuka na kuelekea katika lango la kanisa na tulikuta watu wengine wamesha fika wamo kanisani.
Lakini kitu cha kushangaza katika kanisa hilokulikua na picha nyingi sana na picha nyingi zilikua za wazungu na miongoni mwa picha hizo nilifahamu picha moja tuu ambayo ilikua ni ya raisi wa zamani wa marekani george washing ton na picha ya mtume branham.
Na katika sakafu kulikua kumetandikwa zulia jekundu na katikati kulikua na meza iliyokua imefunikwa kwa kitambaa chekundu yaani kama ndani ya hicho kitambaa au juu ya meza kuna chakula au kinywaji.
Na kitu kingine kilicho nishangaza waumini wote walikua wamevaa nguo nyekundu na nyeusi na walikua na unyeyekevu wa hali ya juu.
Sikuhiyo katika ibaada kulikua na somo la kufundisha utatu mtakatifu, nanukuu kama ilivyo kua.
Mchungaji alisema kwamba hakika katika dunia hii watu wana muabudu mungu ambae hana majibu na hawajui nani mungu na nani msaidizi wake pia watu wanamuabudu mungu maskini maana hawapi majibu kwasababu munguwao hana uwezo, pia kumbukeni kwamba maskini hawezi kuingia mbinguni maana maskini huabudu watu wenye pesa anasahau kwamba kunamungu alie hai.
Mchungaji alisema jina la mungu halisi anaitwa AAMINA au o yani ziro au sufuli maana moja bila zilo haiwezi kuitwa kumi.
Aliendelea kusema mugu wetu anao wasaidizi ambao alio waumba ambao ni yesu na lusifer ambao unakamilisha utatu mtakatifu.
 na yesu alikuepo toka mwanzo ila mungu aliamua kumuweka katika tumbo la bikila malia ili tusishangae na kujiuliza huyu mtu katokea wapi.
Pia aliendelea kusema kwamba mungu aliumba malaika ambao nao ni wasaidizi wa mungu ambao ndio wanatumwa kuja kujibu maombi yetu ambao ni,
(1) AUSER.
(2) TEHUT.
(3) SEKER.
(4) MAAT.
(5) HERUKHUT.
(6) HERUU.
(7) HETH ERUU.
(8) SEBEK.
(9) AUSET.
(10)                   GHEB.
(11)                   MAL KUTH.
Na hao wanajulikana kama wasaidizi wa mungu na ndo wanaokuja kutusaidia.
 pia unaweza kuwaita kwa majina yao maalumu lakini hadi uwe umeshafikia kipindi au ngazi ya kunena kwa rugha ambayo niliitaja hapo mwanzo.
Miongoni mwa malaika hao wapo wa uponyaji, wapo wa kuua, wapo wa kuadhibu, wapo wa kutoa mali na wapo wanao simamia anga na wapo wanao simamia ardhi na pia katika hao malaika kila malaika ana wafuasi wake.
Kitu cha kushangaza wakati anatoa somo hilo kulikua na picha  kama hii hapo mbele,   na chini ya picha hii kulikua na picha ya mtume braniham.     



           
Somo liliendelea hadi mida ya sa nane za usiku ndipo tulipo tawanyika na kurudi majumbani na kilas muumini alikua na gari lake tulipo fika nyumbani mchungaji alinisihi akaniambia ulicho kiona kanisani usije ukamsimulia mtu maana hizo ni siri za mungu namimi nili mjibu nikamwambia sita subutu kusema.
Tulikaa hapo kama wiki moja na ndipo alinifata dreva wa mchungaji akaniuliza na wew unataka kua mchungaji? Nilimjibu nikasema ndio aliniuliza kwa masikitiko akasema utaweza? Nilimjibu nitaweza maana ni wito toka kwa mungu, aliche na akasema sjui kama utaweza na ndipo akaanza kunipa mkasa ulio mkuta akaanza kama ifuatavyo.
Sikumoja mnamo mida ya sanne za usiku mchungaji aliniambia nimpeleke sehemu na mimi bila kuchelewa niliwasha gari tukaondoka hadi tulifika katika pori moja tulipo fika katika pori hilo aliniambia simama nikaji saidie namimi nilisimama akashuka lakini cha kushangaza alikaa mda mrefu hadi nilipatwa wasi wasi ilibidi nichukue jukumu la  kumfatilia huku ninaita mtumishii mtumishii kimya niliendelea kumtafuta punde si punde nilimuona akiwa amepiga magoti mfano wa kusujudu na wakati huo kulikua na joka kubwa sana limemuinamia niliogopa sana nikahisi mchungaji yupo katika hatari niliamua kuchomoa bastola ili nimshuti ndipo mchungaji aligeuka na kuniambia unachotaka kukifanya usikifanye huyu ni rafiki mwema nakuomba urudi katika gari nnakuja.

Nililudi katika gari lakini wakatihuo nilihisi uoga wa hali ya juu.
Nilikaa kama dakika saba hivi na mchungaji akatokea akasema tafadhali ulicho kiona usije ukasimlia mtu na nikisikia uhakikishe haupo duniani, nilimjibu nikamwambia hauta skia kwa mtu yoyote.
Niligeuza gari tukaludi hadi nyumbani wakatihuo nikiwa na uoga wa hali ya juu.

Nililala hadi asubuhi lakini cha kushangaza skupata usingizi hadi mkewangu aliniuliza kwani una mawazo gani? Namimi nilimjibu nikamwambia  sina mawazo bali sina usingizi.

Siku zilipita ndipo sikumoja niliamua kumwambia mkewangu kilicho nitokea aliogopa sana na akanishauli niache kazi namimi nilimjibu nikamwambia nikiacha kazi ataniua ngoja niendelee mungu ndo anajua.

Mkasahuu sijawahi kusimliya mtu yeyote tofauti na mkewangu na nimeamua kukusimuliya wewe sababu wewe ni mtu wa mbali pia nimekuonea hurum



Baada ya masimulizi hayo hakika nilihamaki sana hadi nikapanga kutoroka lakini skua na uwezo wa kutoroka maana sikua na nauli na pia nilikua sijui hata njia ya kuelekea stendi.

Ilibidi nijikaze hadi siku tulipo funga safali ya kurudi nyumbani na tulipo fika nyumbani nilimsimulia mama pamoja na kakaangu fanueli kwa niliyo ya skia na kuyaona na mama alisema mwanangu huo ni uongo, nilimuuliza mama sasa kama ni uongo kweli mungu anaitwa zilo? Mama alinijibu akasema hapana hizo ni rugha za ufundishaji.

Nilimwambia mama na nikaapa nikasema hakika sitarudi kanisani na narudi katika dini yangu ya kiislamu mama alisema utakua umepotea mwanangu.
Mama alianza kunisihi akasema mwanagu usirudi huko nakuomba uendelee kusali usimfate mtu we fata neno la mungu linataka nini na halitaki nini nilimjibu nikasema haita wezekana maana nimeona kinacho abudiwa sio mungu mmoja bali ni miungu watatu.

Niliamua kufunga safali mpaka sehemu moja inaitwa mbugani iliyoko wilayani sengelema mkoani mwanza kwa shekh mmoja aliekua anaitwa shek abdur karim na nilipofika ilibidi nimsimulie mkasa ulio nipata na akanijibu akasema hakika umemuudhi sana mungu wako na inatakiwa usilimu upya na nikusomee dua ya kukuombea msamaha na akanionya akasema nakuonya  kama kijana wangu usipende kutanga tanga katika makanisa utakuja kujikuta unamuabudu shetani bila kujua namimi nilikili kosa na nikamwambia sita rudia tena.

Na hapo ndipo niliamua kuacha kutanga tanga katika makanisa na nikawa nimeujua ukweli katika baadhi ya makanisa.
Hakika kuna baadhi ya makanisa wanaabudu shetani na wengine hadi wanajiita mitume na wengine wanajiita manabii na wengine hadi wanajiita mungu mfano kuna mchungaji mmoja anajiita mungu baba bendela.

Hicho ni kisa cha kweli na katika kisa kingine ambacho nilikishuhudia ni kile cha mwanamke alipo ombewa na mchungaji na akajifungua mtoto ambae aligeuka na kua nyoka.

ILIKUA HIVI
Kisa kingine nilichokishuhudia kwa macho yangu ni huko Katoro mkoani Geita kuna mchungaji mmoja jina lake nalihifadhi ana kanisa la ukombozi.
Siku moja alifuatwa na mama mmoja ambae alikua na miaka 8 katika ndoa mafanikio ya kupata motto,
 ndipo alipoamua kwenda kwa huyo mchungaji akamwambia matatizo yake na mchungaji alimkabidhi kidude cha kuvaa mkononi ambacho kipo mfano wa shanga akamwambia utapata mtoto kwa nguvu za bwana lakini hakikisha huvui hiyo shanga mpaka utakapojifungua.

Mama huyo baada ya muda kweli  akapata ujauzito na akarudi kanisani kutoa ushuhuda na mchungaji akafurahi akampa hongera  pia akamwambia inatakiwa atoe shilingi 300,000/- kwa ajili ya kumshukulu bwana kweli huyo mama alitoa hizo pesa na mimba iliendelea kukua hadi akajifungua salama na mtoto alipewa jina na mchungaji akaitwa Emanueli.
Maisha yaliendelea hadi miezi minne.

Ikawa imefika masika watuwakaanza kilimo na huyo mama wa mtoto alianza kwenda shambani mtoto anamuachia msichana wa kazi,
kila alipokua analudi anakuta maziwa ya mtoto yameisha yote na kila anapomuuliza mshichana wa kazi anamjibu maziwa yalibaki mengi na ameyahifadhi juu ya kabati kwa hiyo hajui ni nani amekunywa.
 Tabia hiyo iliendelea kwa muda mrefu huku mama akimshutumu msichana wa kazi kuhusu maziwa kunyweka bila kujua ni nani anaekunywa.

 Ilibidi msichana wa kazi afanye uchunguzi ili kubaini ni nani anakunywa maziwa yale kila anapoyahifadhi  ndipo alipo amua kujificha ili ajue ninani anae ingia ndani na kunywa maziwa.


Cha kushangaza alipokua amejificha ili amuone mwizi wa maziwa alishangaa kuona mtoto anabadilika na kuwa nyoka mkubwa na anapanda juu ya kabati na akaanza kunywa maziwa na alipo maliza akaludi kitandani na akageuka tena kua mtoto.




Mfanyakazi alitoka mbio hadi shambani akamuita tajili yake dada dadaa twende nyumbani ukaone mtoto anabadilika nakua nyoka mama huyo alishangaa na kumwambia mfanyakazi umeugua mfanyakazi alijibu akasema nikweli dada ndipo mama huyo aliamua kurudi nyumbani na alipo fika nyumbani alimkuta mtoto yupo kitandani amelala mama huyo alimuuliza umechanganyikiwa? Mfanyakazi akamjibu akasema mimi niko mzima ila nimeshuhudia kwa macho yangu mtoto ana badika na kua nyoka na alipanda juu ya kabati akanywa maziwa.

Mama huyo alichukua maamuzi ya kwenda kwa mchungaji kumhadithia na mchungaji alipo hadithiwa alimjibu mama Yule akasema amini nakwambia mfanyakazi wako ni mchawi na inatakiwa umfukuze haraka sana bwana atakupa mwingine.

Mamahuyo aliludi nyumbani kwa hasira na akachukua jukumu la kumfukuza binti na kutafuta mfanyakazi mwingine.
 japokua alitafuta mfanya kazi mwingine lakini tabia ya maziwa kunywewa iliendelea na ndipo mama huyo aliamua kufanya uchunguzi wa kujua nini kinaendalea .

Mama huyo aliamua kujificha ili aone nani atakuja kunywa maziwa lakini cha ajabu alishuhudia kwa macho yake mawili mtoto akibadilika na kua nyoka ndipo alianza kupiga makelele hadi watu wakajaa na wakashuhudia nyoka ikimalizia kunywa maziwa.

Wananchi ndipo walipo amua kumuhoji mama huyo yakwamba tunaomba utuambie huyu mtoto ulimpata kwa njia gani?
Mama hakusita kuwaambia ukweli akasema “ mimi nilikua nahangaika na uzazi ndipo nilipoamua kwenda kwa mchungaji akaniombea na kweli nikapata mtoto na matokeo yake ndo haya’’.

Pia mchungaji huyo alinipa shanga za kuvaa akaniambia nisizivue.
Wananchi wenye hasira kali waliamua kufunga safari hadi kwa mchungaji na wakaanza kumuhoji kutokana na tukio lile wakamuuliza kwanini unapo muombea mgonjwa ni lazima umfunge ushanga mkononi je unaweza kutwambia maana yake?
Mchungaji alisema hizi ni shanga zilizo balikiwa ambazo zina nguvu ya bwana na zina kinga juu ya maa dui.

Wananchu walisema inamaana mungu wako yuko katika shanga? Na kwanini usimuombee mtu bila shanga?
 Mchungaji akajibu kwa jeuli akasema huo ni utaratibu wangu mtu hatakiwi kuu ingilia, ndipo wananchu waliamua kumpa kipigo na wakachoma nyumba yake pamoja na kanisa likachomwa moto kwa bahati nzuli polisi waliwahi kufika wakamuokoa na walimkamata na kwendanae kituoni na baada ya siku tatu wali muachia na akahama.

Mpaka sasa mchungaji huyo anaishi mkoani geita maeneo ya jimboni na alijenga kanisa jingine kubwa zaidi ya lile nab ado anaendelea kutoa huduma ya bwana kama kawaida na waumini wapo wengi na shanga wanaendelea kuvaa kama kawaida.

Upande wa huyo mama alie jifungua nyoka ilibidi atafute msaada kwa makanisa mengine baada ya kushauliwa na watu ilibidi akaenda katika kanisa jingine akampeleka mtoto akaombewe na maombi yalifanyika usiku mzima kwa ajili ya kumuombea mtoto lakini maombezi hayakuzaa matunda ndipo alienda kwa shekh mmoja kwa jina la shekh darueshi na akamsimulia mkasa mzima ndipo shekh aliamua kukusanya watoto wa chuo wakamfanyia kisomo baada ya mda kama dakika arobaini maajabu yalitokea nao walishangaa walipo ona mtoto gafra anabadilika anakua nyoka wote walikimbia na joka hilo lilikimbia na kutokomea kusiko julikana walijalibu kilitafuta bila kuliona lilipo potelea.

Mama kabeba mimba miezi 9 na kuambulia kuzaa nyoka.
Tuji hadhali na wachungaji wenye masharti kama waganga wa kienyeji na pia tuji hadhali na makanisa baadhi maana unaweza kujikuta una muabudu rusifa bila kujitambua.


KITABU HIKI KIMETUNGWA NA KUANDIKWA NA DR. HAJI a.k.a BABU MTAALAMU WA TIBA ASILI TANZANIA.                                                                                                                                                                              
ANATIBU MARADHI MBALI MBALI KAMA VILE,                                                                                                        1. KISUKARI.                                                                                                                                                                                          2. PRESHA.                                                                                                                                                                                                 3. VIDONDA VYA TUMBO.                                                                                                                                                    4. MIGUU KUUMA, KUWAKA MOTO.                                                                                                                                5. MATATIZO YA AKILI (VICHAA).                                                                                                                                                       6. BAWASIRI.                                                                                                                                                                              7. KUFUKUZA MAPEPO.                                                                                                                                                     8. KUFUNGUA VIFUNGO VYA KICHAWI.                                                                                                                                      9. NGUVU ZA KIUME.                                                                                                                                                                          10. UZAZI.                                                                                                                                                                                   11. UVIMBE TUMBONI.                                                                                                                                                              12. KUMUITA ALIE MBALI.                                                                                                                                                        13. KUSAFISHA NYOTA.                                                                                                                                                               14. MVUTO KATIKA BIASHARA.                                                                                                                                                         15. KUTOA MIKOSI KATIKA MWILI,NK.
PIA NINAYO MAFUTA YA AJABU YAITWAYO RADI, NIMAFUTA YENYE UWEZO WA KUTIBU KILA MARADHI NA KUFUKUZA MAJINI AINA ZITE PIA MAFUTA HAYA YANA MVUTO WA AJABU KATIKA MWILI PIA KATIKA BIASHARA NA KUFUKUZA UBAYA KATIKA MJI,NK.
PIA USIKOSE VITABU VYANGU  VINGINE KWA AJILI YA KUPATA ELIMU ZAIDI YA KUJI TATULIA MATATIZO WEWE MWENYEWE.
1.      KITABU CHA TAFSIRI ZA NDOTO.                                                                                                                                             2. KITABU CHA ELIMU YA NYOTA.                                                                                                                                                       3. KITABU CHA MAAJABU YA YASINI.                                                                                                                                                       4. MAAJABU YA INNA ANZALNAHU.                                                                                                                                       5. KITABU CHA UFUNGUO.                                                                                                                                                                             6. MAAJABU YA MAJINA 28 YA BARAHATIH.                                                                                                                          7. MAAJABU YA MISHUMAA NA UDI.                                                                                                                                                                                  8. KITABU CHA MADAWA MBALI MBALI.                                                                                                                                9. KITABU CHA MJARUBATI BIN HAJI NO1/2/3.                                                                                                                                                            10. KITABU CHA MITI SABA YENYE UWEZO WA KUTIBU KILA MARADHI.                                                                                                            11. KITABU CHA MAFUTA YA AJABU YENYE UWEZO WA KUTIBU MARADHI MENGI NA KUFUKUZA MAJINI.                                                                                                                                                                                  12. KITABU CHA UFUGAJI WA KUKU.                                                                                                                                          13. MAMA AJIFUNGUA NYOKA BAADA YA KUOMBEWA NA MCHUNGAJI.                                                                                                      14. KITABU CHA MADAWA NAMBA MBILI.                                                                             15. KITABU CHA MAGONJWA YA MOYO, PRESHA NA KISUKARI(dalili zake na tiba zake)                                                                                                                                                      16. KITABU CHA HADITHI YA JINI MAIMUNA NA KIJANA HAJI UJININI.                                                                                                                                      17. KITABU CHA MAUMBILE NA MAANA ZAKE.                                                                  18. KITABU CHA WATAMBUE MAJINI NA DALILI ZAKE.                                                               19. KITABU CHA NGUVU ZA KIUME NA HISIA NA UZAZI.                                                                      20. MAAJABU YA SURAT WAQIA.                                                                                                        21. MADHALA YA ZINAA KATIKA DINI NA KISAYANSI.                                                                    22. KITABU CHA NYOTA NAMBA MBILI.                                                                                          23. KITABU CHA ELIMU YA HESABU NA UTABIRI.                                                                               24. KITABU CHA ELIMU YA KUITA VIUMBE (elimu ya viumbe)                                                  25. KITABU CHA FUNGUO NAMBA MBILI                                                                                            26. KITABU CHA NDOTO NO2                                                                                                           27. KITABU CHA MAAJABU YA YASINI NO2                                                                                            28. KITABU CHA DUA NZITO YENYE MAJIBU YA HARAKA.                                                           29. KITABU CHA MAAJABU YA YASINI NO2                                                                                     30. KITABU CHA MAGONJWA YA KINA MAMA NA DAWA ZAKE.                                                  31. KITABU  CHA ELIMU YA KUMSOMA MTU KUTOKANA NA MAUMBILE YA KUZALIWA NAYO .                                                                                         32.KITABU CHA  HABAI ZA SAA; =UTABILI KWA KUTUMIA SAA
32.PIA USIKOSE KITABU CHANGU KIITWACHO UCHAWI WA ZAMANI KILICHO JAA TARASIMU ZA KILA AINA NA ELIMU YA KUTUMIA NAMBA ZA ABJADI NA ELIMU ZA MAJINI NA MAANA YA BAADHI YA MITI NA MATUMIZI YAKE PIA KATIKA KITABU HIKI KINA UCHAWI KWA KUTUMIA SHIKERI.  KAMA UNAHITAJI KUKUZA ELIMU YA TIBA ASILI NA KUJUA MENGI KUHUSU MAJINI USIKOSE KITABU HIKI

KWA DAR ES SARAM  NAPATIKANA BUGURUNI MALAPA UKISHUKA ULIZA KAMPUNI YA ULINZI YA TURU: NIKO JENGO HILO HILO.


EE MOLA WANGU ULIE UMBA MBINGU NA ARDHI NAKUOMBA UTUKINGE NA MABALAA YATOKANAYO NA MAJINI NA BINADAMU NA UTUJALIE AFYA NA SALAMA YAA SALAMU ILI TUWEZE KUKUSHUKURU NA KUKUABUDU NA UTUJAALIE MIONGONI MWA WAJA WAKO WEMA YA ALLAH.

ZAIDI WASILIANA NA DR.HAJI KWA SIMU NO 0657,555550/767,393934/685,393934. Au tembelea blog,DR BABU HAJI
face book nitafute kwa: babu drhaji


                                                                                                                                                             

4 comments:

  1. KARIBU UPATE KUJUWA NYOTA YAKO NA KUUJUA MWILI WAKO NA TIBA YA MATATIZO YAKO.

    Kwa uhitaji pia wa NDAGU ya ulinzi au Mali pia Mali ya MAJINI ila kwa hili nahitaji mutu mwenye sifa hizi
    1.MSIRI
    2.MALENGO
    3.NIA YADHATI NA KWELI
    4.NIDHAMU


    DOKTA MDIRO, call/whatsup +255 742162843

    DUNIA HII SIO MBAYA ILA WALMWENGU NDIO WABAYA,
    KATIKA MAISHA YETU TUNAISHI NA WATU WA AINA MBALIMBALI WEMA NA WABAYA

    Natoa ofa ya checkup au kuuchuuza mwili wako na NYOTA yako kuchekii mwili wako na NYOTA yako ni Kama unavyokwenda kwa daktari hospitalini kufanya checkup ya afya ya mwili kuuhepusha na maradhi nyemerezi kwa kuyakinga au kuyaondoa kabisa.

    TUNAISHII KTK DUNIAA AMBAYO YENYE UPENDO , CHUKI NA ROHOMBAYA.

    TUMEZUNGUKWA NA JAMII AMBAYO WATU TUNACHEKA NAO TUNAKUNYWA NAO LAKINI UPANDE MWINGINE NDIO WANATUZUNGUKA KUTUFANYIA MAMBO MABAYA.

    ∆KUNAWATU WAPO MAKAZINI HAWAONI MAENDELEO
    ∆WATU WANAFANYA BIASHARA HAWAONI FAIDA
    ∆VIFUNGO VYA UCHAWI YAANI WEWE MWILI NI KUUMA TU
    ∆WENGINE USIKU MREFU HAKNA USINGIZI
    ∆UNAOMBA KAZI HUPATI NA UNAVIGEZO
    ∆WENGINE KOO ZAO HAKUNA HATA MWENE BAISIKELI WOTE NI KILIA TU
    ∆KILA NDOA WEWE NI KUACHIKA BILA SABABU
    ∆MAJINI MAHABA MWILINI.
    ∆KILA UKIPATA PESA HIKAI NA MATATIZO KUANDAMA.
    ∆WENGINE MPAKA MAJINA YAO NA BAHATI ZAO ZIMEFUNGWA MAKABURINI BILA KUJUWA.

    HACHA KULALAMA CHUKUA HATUA KUBADILI MAISHA YAKO HUJAUMBWA KATIKA DUNIA HII KUTESWA NA MTU NA KUWA KITUO CHA MATATIZO NA MAJARIBIO JIWEKEE KINGA YAKO NA FAMILIA UHESHIMIKE HUSISINGIZIE HALI NGUMU MBONA SHOW ROOM MAGARI YANAUZIKA KILASIKU NAWE JIWEKE KATIKA HALI NAWE UWE NA MAISHA MAZURI.

    Magonjwa yote hutibika kwa mwenye kubri na uwezo kutoka kwa Allah DOKTA MDIRO upate ufumbuzi wa tatizo na Jambo lako.

    UWEZE KUTIZAMWA NYOTA YAKO NA MWILI KWA UJUMLA UMBALI SIO TATIZO HUDUMA INAKUFIKIA PIA KWA WANAOTAKA KUFIKA OFISINI NA MAWASILIANO NAMBA ZIPO CHINI UNAPOKELEWA NA DOKTA MDIRO MOJA KWA MOJA.

    DOKTA MDIRO call/whatsup +255 742162843

    ANGALIZO PIGA SIMU HUSITUME SMS KUHUDUMIWA HARAKA NA KUHEPUKA MATAPELI.

    ReplyDelete
  2. IFAHAMU MIZIMU NA UNDAANI WAKE KATIKA KUOMBA LOLOTE MALI UPONYAJI, PESA ZA NDAGU PIA NATOA PESA ZA MAJINI(chuma ulete, majini wa kufuga na wa bahati)

    DOKTA MDIRO whatsp/call +255 742162843

    ANGALIZO HUSIJARIBU JAMBO ULIZA KWA MAELEKEZO

    Omba lolotee kwa njiaa ya mizimu mungu atatenda asema DOKTA MDIRO,

    Kuna watu wakisikia neno mzimu wanatimkaa mbio lakini wakisikia neno mtakatifu wanabarikiwa na wakati ni kitu kilekile kasoro jina tu.

    Daktari wa kiafrika anaitwa mganga wa kienyeji na wa kigeni ni Mtaalamu au mwanasayansi.

    Ibada takatifu zinaitwa Kusali na za lienyeji zinaitwa matambiko amka wacha kulala.

    watakatifu wa kiafrika wanaitwa mizimu, Mzimu nii binadamu yeyote yule aloachaa mwili na ANAISHIII na mungu karibu, kwaiyo sisi sote nii mizimu watarajiwa, unapomfananisha Mzimu na shetaani nikukataa ukuu wa afrikaa, wazungu Mzimu uloishiii vizuri dunian wanauita mtakatifu sisi mizimu iloishi vizuri na VIBAYA duniani tunaayaita mashetani.

    Ndiomaana ktk orodha ya watakatifu karibu wote wazungu, waafrika wa kuwahesabu, @highlight Following Everyone Products @highlight TAWALA ZA MAJINI NA TIBA ZAKE NA NJISI YA KUWA TUMIA Followers Hub

    WAZUNGU KWENDA MAKABURINI WANAITA HIJJA , SISI KWENDA MAKABURINI TUNAITA MATANDIKO, HATA MZIMU WA NYERERE UMECHUKUWA MUDA KWELI KUFANYWA MTAKATIFU KWASABABU HAKUWA MZUGU.
    🤫DOKTA MDIRO ANASEMA MIZIMU INAFAIDA KUBWA KTK MAISHA YA MUWAFRIKA, KUIKATAA NI KUKUBALI BALAAA NA KUKUBALI NI CHAZO CHA BARAKA.
    NA MAISHA MEMA APA DUNIANI,
    😒 Mikosi, manyanyaso balaa, na gundu ulizonazo haziwezi kuondoka mpk ukutane na mizimu yenu .
    Dokta MDIRO ANAKUAMBIA MIZIMU YA BIBI YAKO NA BABU YAKO INAA MAJIBU YA MATATIZO YAKO.

    ReplyDelete
  3. NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO ULIPO KUPITIA KALAMA KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    HACHA KUTANGATANGA PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI

    NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI NA KUTUNZA SIRI......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA YA DHATI.

    ReplyDelete
  4. NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI

    MPAKA MASAA 72(SIKU 3) PAPO HAPO ULIPO KUPITIA KALAMA KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    HACHA KUTANGATANGA PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI

    NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI NA KUTUNZA SIRI......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA YA DHATI.

    ReplyDelete