DALILI ZA MTU MWENYE
MAJINI NA MIZIMU
Kuna kujitambua kuwa una majini kwa
njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya
ndoto ya dhahili.
DALILI ZA DHAHILI.
(1)
kizunguzungu.
(2)
vitu
kutembea tumboni.
(3)
vicheza
mwilini.
(4)
kichwa
kuuma mara kwa mara.
(5)
kuhisi
mtu anatembea nyuma yako.
(6)
kupiga
mihayo sana.
(7)
macho
kukosa aibu.
(8)
hasira
za mara kwa mara.
(9)
kupoteza
kumbukumbu.
(10)
ugomvi
wa mara kwa mara hasa kwa wana ndoa.
(11)
maradhi
ya kujibadilisha badilisha.
(12)
kuhisi
baridi mara kwa mara.
(13)
kutojisikia
kuongea hasa wakati unaposemeshwa na mtu unaona kama anakusumbua.
(14)
masikio
kupiga kelele.
(15)
kuhisi vitu vinaongea masikioni.
(16)
kupoteza
hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.
(17)
kuharibikiwa
na vitu hasa vya moto.
(18)
matatizo
ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.
(19)
kufungika
kwa kizazi.
(20)
kustuka stuka wakati wa usiku au kustuliwa.
(21)
moyo
kuongopa sawa na mtu mwenye presha.
(22)
kupungukiwa
damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini mala kwa mala.
(23)
kupungukiwa
nguvu za kiume au za kike.
(24)
kusikia
uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza hata unapo anza hasa kwa kina
mama tatizohili lipo sana.
(25)
kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.
(26)
kuhisi
manukato au harufu mbaya.
(27)
kukosa
hamu ya kula au kubagua chakula.
(28)
mimba
kupotelea tumboni.
(29)
kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.
(30)
kifafa,
kuna vifafa vya kawaida na vifafa vya kulogwa pia kuna vifafa visababishwavyo
na jinni maiti.
(31)
kichaa,
mara nyingi vichaa hutumiwa majini waitwao asahha.
(32)
pia
majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati
anapoombwa tendo la ndoa.
(1)
DALILI KATIKA NDOTO.
1.
ndoto
za kufukuzwa na wanyama wakali.
2.
ndoto
za kuota unajifungua (kuzaa).
3.
kuota unapigwa.
4.
ndoto
za kuogelea.
5.
ndoto za kupaa.
6.
ndoto
za kuota umepandishiwa jini.
7.
ndoto za kuota umeoa au umeolewa.
8.
kuota
umevalishwa pete au mkufu.
9.
kuota
unapigana.
10.
kuota
unapiga kelele.
11.
kuota
moto mkubwa.
12.
kuota unazika.
13.
kuota
umekufa.
14.
kuota
unafukua kabuli.
15.
kuota
sherehe mara kwa mara.
16.
kuota
unaongea na watu waliokufa.
17.
kuota
unaona visuguu.
18.
kuota
unaona mafuvu ya watu.
19.
kuota
unapiga ramli.
20.
kuota
unavaa bangili au shanga, mizimu au majini.
21.
kuota
watu wanachunga ng,ombe.
22.
kuota
watu wamevaa nguo nyeupe wame kusimamia.
23.
kuota
unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe
24.
na
kitambaa cheupe, chekundu au cheusi ni dalili ya mizimu au majini.
25.
kuota
vijumba vya mizimu.
26.
kuota
vibuyu ni dalili ya mizimu..
27.
kuota
unakunywa au unanyweshwa damu.
28.
kuota
watu wamevaa kanzu.
Hizi ni dalili za majini kwa njia za
ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa
kwa ufupi.
na pia namuomba mwenyezi mungu
aendelee kunipa fahamu ili niendelee
kuwaelimisha na kuwafundisha mambo
mengi ya kuwatambua majini kwa njia za
njozi pia kwa njia za dhahili.
Watu wengi wanasumbuka na mashetani
,mizimu,majini, maiti lakini hawajitambui sasa nahitaji kuwapa elimu ili muweze
kufaidika nazo na kijifahamu mapema ili kuwaondoa mapema kabla hawajazaana au
kuitana.
Na pia nawafundisha dawa kwa ajili ya huduma ya kwanza na
kujikwamua na adha hii ya majini.
Ahsante yenu itanisababisha
kazi yangu kusonga mbele na hii ni moja
ya sadaka.
Kwa sasa majini ndio wanaongoza kwa
kuwatesa watu, kuwatia nuksi,
kuwafilisi, pia na kuvunja ndoa za watu.
Majini wamekua ni kesi kubwa sana
kwetu maana wamejaa sana na wanasumbua sana ummahuu na wachawi hutumia majini
kwa ajili ya kuwatesa watu.
Ee mola mlezi tunusuru na sharri za
majini na wayatumiayo, Aamina In shallah.
dalili ziko nyingi lakini hizi ni muhimu sana kuzitambua. zaidi wasiliana nami kwa sim no, 0767393934 au 0657555550
No comments:
Post a Comment