JINSI YA KUINUA MZIMU KUTOKA KABURINI - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Friday, November 17, 2017

JINSI YA KUINUA MZIMU KUTOKA KABURINI



JINSI YA KUINUA MZIMU KUTOKA KABURINI

Chukua chunvi yam awe uisage iwe laini, utaenda nayo hadi katika kaburi kisha utachora sako nje ya kaburi nawewe utakaa katikati ya kaburi kwa mkao huu na pembeni kwako utakua umeandaa kivumbasi kwa ajili ya kumpoza nguvu kiumbe atakae kuja.
Utavuta pumzi x21 na kuiachia kidogo kidogo kisha utaanza kusoma ABJEDI, utaisoma kwa mtindo wa kuanzia herufi ya mwisho, yaani utaanza na YEE na utamalizia na ALIF.
Utasoma bila idadi hadi utakapo ona makaburi yanaanza kuguna au katika kaburi ulilokaa litaanza kupumua kisha utasema, enyi mulioko kuzimu amukeni kwa nguvu za hizi herufi na kwa nguvu za SUFULI au kwa nguvu za O.
wakati huo utakua umechola pembe tatu kwa kutumia chunvi ya mawe ambayo itakua kwa ajili ya kuingia viumbe au kiumbe unae muita.
Lakini kumbuka kabla ya kuanza kusoma utalaani x3 ili kujikinga na ukorofi wa viumbe watakao kuja, utasema AUDHU BILLAHI MINA SHEITWANI RRAJIM X9.
Na pia uwe umeandaa vijiti viwili ambavyo utakua umevifunga mithiri ya msalaba ambao utaushikilia wakati ndo wanakuja viumbe.
Njia hii ya kugeuza ABJEDI pia unaweza kuitumia katika kufunga uadui au kubatwirisha uchawi.
Watakapo kua wamekuja viumbe utawaamulu jinsi unavyo taka na unaweza kuwaomba wawe wasaidizi.

2 comments:

  1. YALIYOMO
    1. UTANGULIZI
    2.NDOTO ZA KIPEPEO
    3. NDOTO ZA NYOKA
    4. NDOTO ZA WATOTO NA KUZAA.
    5. NDOTO ZA KUUA AU KUUWAWA.
    6.NDOTOZA NDEGE ZA ABILIA
    7. NDOTO ZA BUNDI
    8.NDOTO ZA AJARI
    9.NDOTO ZA KURUKA
    10.NDOTO ZA MAMA
    11.NDOTO ZA HARUSI
    13.KUPATA NDOA KATIKA NDOTO
    14. NDOTO ZA MAJI
    16.NDOTO ZA VIATU
    17.NDOTO ZA KUENDESHA GARI
    18.NDOTO ZA BARABARA
    19. NDOTO ZA MELI
    20.NDOTO ZA BAFUNI
    21.NDOTO ZA CHOO
    22.NDOTO ZA MVUA
    23.NDOTO ZA UMEME
    24.NDOTO ZA UPINDE WA MVUA
    25.NDOTO ZA MWAMVULI
    26.NDOTO ZA RADI
    27.NDOTO ZA KISU
    28.NDOTO ZA MBOGA MBOGA
    29.NDOTO ZA KUHUSU UMA
    30.NINI NDOTO KUHUSU BABU NA BIBI
    31.NDOTO ZA UCHI
    32.NDOTO ZA KUFANYA MAPENZI
    33.NDOTO KUHUSU KITANDA
    34.NDOTO YA BLANKETI
    35.NDOTO KUHUSU LAPTOP U AU KOMPYUTA
    36.NDOTO ZA MENO
    37. NDOTO ZA ZOMBI
    38.NDOTO KUHUSU SHULE
    39.NDOTO KUHUSU MAZISHI ,MSIBA,MAITI NA MAKABURI
    40.NDOTO YA TEMBO
    41.NDOTO KUHUSU KIOO
    42. NDOTO ZA DILISHA
    43. NDOTO ZA BUIBUI
    44.NDOTO ZA PAKA
    45.NDOTO KUHUSU MJUSI
    46.NDOTO KUHUSU SIMBA ZINAMAANISHA NINI?
    47.NDOTO KUHUSU FARASI
    48.NDOTO KUHUSU MENDE
    49.NDOTO KUHUSU NG'OMBE
    50.NDOTO KUHUSU MBUZI
    51.NDOTO KUHUSU MAMBA
    52.NDOTO ZINAZO HUSU SAMAKI
    53.NDOTO ZA SWALA PAA
    54.NDOTO ZINAZO HUSU SOKWE
    55.NDOTO ZINAZO HUSU MAYAI
    56.NDOTO ZINAZO MHUSU PANYA
    57.NDOTO ZINAZO HUSU NGE
    58.NDOTO KUHUSU NYUKI
    59.NDOTO MCHANGANYIKO


    UTANGULIZI

    kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyenzi Mungu Muumba Mbingu na ardhi, aliye nijali afya na nguvu na uwezo wakuweza kutunga kitabu hiki cha ndoto namba 3, hakika ndugu zangu wapenzi na wasomaji wa vitabu vyangu, ndoto ni dira kwa kila mtu na kwa hakika binadamu yoyote inatakiwa awe na desturi ya kukalili ndoto zake anazoziota na hata kwa wataalamu wenye kuhusika na maswala ya tiba inatakiwa hasa kuweza kumuoji mgonjwa wako au mteja wako ndoto anazoziota ili aweze kupata urahisi wa kumtibu, ndoto zimetafusiliwa katika Qoraani na katika Biblia pia, na pia kitabu hiki kinauwezo mkubwa wakuweza kukufundisha jinsi ya kuweza kutafsiri ndoto wewe mwenyewe, maana kuna ndoto ambayo unaweza ukaiyota ikawa inakuashiria kitu Fulani ukifanye au kitu Fulani ukiache au kuna hatari Fulani inakuja au kuna neema Fulani inakuja fanya hivi na hivi ili kuweza kuifikia neema yako,pia ndoto ni msingi katika familia yetu kwa ujumla, maana kunaweza kukawa kuna maradhi mazito yanakuja na Mwenyenzi Mungu akakupa ishara katika ndoto lakini usipoifatilia unaweza kujikuta upo mahali pabaya sana na kujikuta kwamba unafikwa na tatizo kubwa ambalo ungeweza kujikwamua nalo mapema, katika kitabu hiki nimepangilia ndoto vizuri kuanzia wanyama,ndege,na matukio mbalimbali ndoto ziko nyingi na ndoto uja kwa mafumbo na pia zingine uja moja kwa moja inategemea na ufalme wako umekaa namna gani kuna watu ambao wanaota ndoto za moja kwa moja ambazo mtu akiota huwa kitu kinatokea na kuna wengine ambao wanaota ndoto ambazo zinakua kinyume na watu hao ndio walio wengi.
    Binadamu yoyote lazima awe na ndoto na ukiona ya kwamba auna njozi basi unatatizo la kupata njozi aidha una tatizo la kifungo aidha unatatizo la kimashestwani aidha unatatizo la majini aidha unatatizo la uchawi, na katika kitabu hiki nitawaelekeza jinsi ya kuweza kujifungua ili kuweza kupata ndoto, kama upati ndoto vizuri labda unaota ndoto na unazisahau basi jitahidi sana kuweza kutumia Asali iliyo changanywa na kungu manga,mdarasini,unga wa ubuyu,pamoja na iriki hivi vitu vinaweza kukusaidia kwa ajili ya kuvuta kumbukumbu.
    Ndugu zangu tuwe na tabia ya kuweza kuandika ndoto maana ndoto ni dira ya maisha yetu kila kitu kinaenda kwa kufatana na njozi. Mwenyenzi Mungu ametuumba sisi na ametupa ishara mbalimbali katika dunia hii ili kuweza kujikinga na uhadui.

    ReplyDelete