MAAJABU
YA MGAGANI
Mgagani
ni mboga ambayo mwanzo ilikuwa hailimwi ilikuwa inapatikana porinitu,Siku hizi
ni mboga ambayo inapatikana kwenye jumuiya ya watu maskini vijijini, Na asili
yake husadikika kuwa Afrika mashariki, Ethiopia, Somalia, Asia kusini na
Amerika, Sasa hivi imeenea katika nchi zote za tropiki Afrika, Asia na America.
Na
wenyeji wa ukanda wa Kalahari na namibia kusini mwa Afrika hutumia majani
machanga kama mboga ile ya spinachi. Wahindi na wathai (Thailand) hutumia sana
kwa kuwa wanajua faida yake. Jina la kibotania huitwa cleome gynandra.
Wafaransa
wanaita caya blanc, br’ede caya na mouzambe. Kwa Kiswahili ni mgagani, mkabili shemsi na mwangani
mgange kulingana na maeneo na
makabila mbali mbali.
Nchini
Tanzania ni makabila machache yanayokula mboga hii labda ni kutokana na
kutokujua faida zake kwa mwili wa binadamu na wanyama. Mgagani una virutubisho
vya kutosha na madini kama vile beta carotene, vitamin C, Chuma, Magnesium,
calcium na phosphorus, Protini na amino acid nyingi. Na ni mboga nzuri kwa
kuzuia maradhi ya kisukari, Kansa na Magonjwa ya moyo. Pia hutibu maumivu ya
kichwa, kufunga choo, maumivu ya tumbo, kuzuia kutapika, limonia, maumivu ya
sikio, bawasiri, maumivu ya hedhi kwa wanawake kwa kuchanganya na mimea ya
asclepias fruticosa, ulaji wa mara kwa mara kwa wanawake hupunguza uwezekano wa
kupata uvimbe wa kizazi, jongo, na
anemia.
Pia
mgagani unafaa kwa akina mama wajawazito wanaotaka kujifungua hurahisisha uzazi
na kupunguza, na kuongeza nguvu mwilini, kutoka maziwa kwa wingi.
Mizizi
hutibu homa, kuumwa na nge na nyoka. Lakini ni mboga nzuri kwa waliotoka tohara
kwani huongeza damu haraka iliyotoka wakati wa kutahiriwa.
Ni
mboga nzuri kwa watoto na ili kupunguza uchungu changanya na tui la karanga .
Mgagani hupendelea udongo wa mchanganyiko na mchanga usio tuamisha maji. Kwa
wakulima unaweza kupanda mgagani na kabeji, ili kuzuia wadudu aina ya aphid,
thrip na diamond back moth. Na wale wanopanda maua aina ya rose kwenye
greenhouse wanaweza kupanda ili kupunguza wadudu aina ya red spider mites.
Lakini pia unaweza kutumia majani yake
na kuchanganya na maji ya kupulizia shambani ili kupunguza kwa kuku na ndege
wengine, ng’ombe, ngamia, farasi na wanyama wa porini wanaofugwa. Tuanze sasa
kulima mgagani kwa faida ya afya zetu.
Tumepata
faida nyngi kutoka katika mmea huu wa mgagani na kujua faida zake nyingi,sasa
nawapa na faida za ziada katika tiba za kale yaani walivyo utumia watu wa
zamani mti wa mgagani.
Hakika
mti huu ni mti wa ajabu sana na niwenye manufaa mengi sana hasa kwa matabibu
maalufu duniani.
UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI
ReplyDelete(Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajili ni azina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)
MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
kwa maelezo kamili piga namba +255742162843
(KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.
(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
1. uwe una umri wa miaka 18+
2. uwe tayari kupokea masharti yote
3.uwe na uwezo wa kutunza siri
4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.
Safi
ReplyDeleteUTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI

Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
ReplyDelete*penda uchawi
* kama unataka ex wako nyuma
* Acha talaka
*kuvunja mawazo
* huponya viharusi na magonjwa yote
* uchawi wa ulinzi
*Ugumba na matatizo ya ujauzito
Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
Whatsapp: +2349046229159