UTARATIBU WA KUITA MAJINI WA KIZUNGU - Dr BaBu Haji

Latest

Dr BaBu Haji

SWAHILI VERSION KWA TIBA ZA ASILI,UTABIRI WA NYOTA,UTAFSIRI WA NDOTO,KUONDOSHA ADHA YA MAJINI,MIKOSI,BIASHARA,MAPENZI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI,KUMWITA ALIYE MBALI NA KUSAFISHA NYOTA,MUONE DR HAJI. ENGLISH VERSION MEET THE TRADITIONAL HEALER DOCTOR AND ZODIAC SIGN PREDICTOR

Dr Babu Haji

Dr Babu Haji
+255767393934/ +255657555550

Translate

Wednesday, June 27, 2018

UTARATIBU WA KUITA MAJINI WA KIZUNGU








UTARATIBU WA KUITA MAJINI HAWA
ZABULI 23 HUITA JINI huita jinni
Kwanza kabisa kabla kumuita kiumbe unatakiwa umsomee maneno ya kutoka katika zabuli 23 ili kumzihaki ili aje kwa wepesi.
Kumekua na misemo mingi ya watu kudai kwamba eti Quraani ndiyo hutumika kuita jinni au mizimu na mambo mengi ya kichawi,lakini kumbuka hayo ni matamshi tuu kama ambavyo unaweza kutamka maneno yoyote hata kwa kabila yako.
Biblia inavifungu vingi vya kuweza kumhuzulisha pepo tena kwa haraka sana, lakini leo nitatoa njia ya kutumia zabuli 23, utaisoma zabuli 23 baada ya kufanya maandalizi ya kuita jinni wako na baada ya kutamka maneno ya kufungua geti la majini.
fgghZaburi 23 utaisoma mara12 kwa kuwaumiza na kuwakebei majini ili waje kwa haraka lakini kipindi unafanya zoezi la kuita utakua umeandaa fimbo ya mwanzi ambayo utakua umeichora hatam suleimani
Na utaisoma zabuli 23 mstali wa kwanza hadi wa sita na baada ya kumaliza kuisoma utaanza sasa kumhuzulisha kiumbe unae mtaka.

Zaburi 23

1. Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
2. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
3. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
4. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
5. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
6. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Ili uone hii chukua mishumaa mitano ya kijani kisha chukua maua matano ya rozi pamoja nataka za kaburini, hiyo ndiyo buhli yake. Kisha kisu ujichome katika kidole gumba damu hiyo dondoshea kila mshumaa ila hakikisha damu isizime moto na damu nyingine dondoshea katika sako ambayo utakua umechora mhuli wa jinni unae mtaka.
Kisha uanze kusema Ewe Mungu wa dunia ya sasa na dunia itakayo kuja naomba unipe macho yako yakuona na unipe nguvu ya kuona vitu ambavyo vitafanya watu waogope ambavyo kwa muda mrefu vilikua vimefungiwa katika giza nene. Utasema maneno hayo mara tatu kisha utauzima moto huo wa mshumaa kwa kutumia maji ya ndimu ikija hiyo mizimu itakua katika upeo wako kwa muda wa siku tatu na isipokuja rudia hadi siku tatu.
Katika hatua zingine za kufata ni kuhakikisha wewe ukiwa ndani ya sako na karatasi ya nembo ya jinni wako utaiweka katika pentagram ya pembe tatu.
Penta gram zako zichore kwa kutumia chunvi ya mawe, maana chunvi ya maweina uzibiti mkubwa wa pepo.
Hatua nyingine itaayo fata ni kuanza kuita jinni wako kwa jina, mfano wewe maimuna njoo haraka sana kwa nguvu na utukufu wa nabii Suleimani na kwa nguvu za Adona njoo njoo njoo utafanya kuita kwa mtindo huu hadi utakapo ona dalili ya jinni kuja na hapo ndipo utaanza kumbembeleza ajitokeze na kumuomba msamaha kwa yale maneno uliyo yasoma mwanzo kutoka katika zabuli 23.
  
ukitaka kujua zaidi nunua kitabu changu cha uchawi wa zamani no3

6 comments:

  1. Asalamu alaykum
    Nitapata vp nakala hyo?,,

    ReplyDelete
  2. Kitabu chako cha uchaw wa zaman shingapi dr babu

    ReplyDelete
  3. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    *penda uchawi
    * kama unataka ex wako nyuma
    * Acha talaka
    *kuvunja mawazo
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa ulinzi
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    ReplyDelete
  4. KARIBU UPATE KUJUWA NYOTA YAKO NA KUUJUA MWILI WAKO NA TIBA YA MATATIZO YAKO.

    Kwa uhitaji pia wa NDAGU ya ulinzi au Mali pia Mali ya MAJINI ila kwa hili nahitaji mutu mwenye sifa hizi
    1.MSIRI
    2.MALENGO
    3.NIA YADHATI NA KWELI
    4.NIDHAMU


    DOKTA MDIRO, call/whatsup +255 742162843

    DUNIA HII SIO MBAYA ILA WALMWENGU NDIO WABAYA,
    KATIKA MAISHA YETU TUNAISHI NA WATU WA AINA MBALIMBALI WEMA NA WABAYA

    Natoa ofa ya checkup au kuuchuuza mwili wako na NYOTA yako kuchekii mwili wako na NYOTA yako ni Kama unavyokwenda kwa daktari hospitalini kufanya checkup ya afya ya mwili kuuhepusha na maradhi nyemerezi kwa kuyakinga au kuyaondoa kabisa.

    TUNAISHII KTK DUNIAA AMBAYO YENYE UPENDO , CHUKI NA ROHOMBAYA.

    TUMEZUNGUKWA NA JAMII AMBAYO WATU TUNACHEKA NAO TUNAKUNYWA NAO LAKINI UPANDE MWINGINE NDIO WANATUZUNGUKA KUTUFANYIA MAMBO MABAYA.

    ∆KUNAWATU WAPO MAKAZINI HAWAONI MAENDELEO
    ∆WATU WANAFANYA BIASHARA HAWAONI FAIDA
    ∆VIFUNGO VYA UCHAWI YAANI WEWE MWILI NI KUUMA TU
    ∆WENGINE USIKU MREFU HAKNA USINGIZI
    ∆UNAOMBA KAZI HUPATI NA UNAVIGEZO
    ∆WENGINE KOO ZAO HAKUNA HATA MWENE BAISIKELI WOTE NI KILIA TU
    ∆KILA NDOA WEWE NI KUACHIKA BILA SABABU
    ∆MAJINI MAHABA MWILINI.
    ∆KILA UKIPATA PESA HIKAI NA MATATIZO KUANDAMA.
    ∆WENGINE MPAKA MAJINA YAO NA BAHATI ZAO ZIMEFUNGWA MAKABURINI BILA KUJUWA.

    HACHA KULALAMA CHUKUA HATUA KUBADILI MAISHA YAKO HUJAUMBWA KATIKA DUNIA HII KUTESWA NA MTU NA KUWA KITUO CHA MATATIZO NA MAJARIBIO JIWEKEE KINGA YAKO NA FAMILIA UHESHIMIKE HUSISINGIZIE HALI NGUMU MBONA SHOW ROOM MAGARI YANAUZIKA KILASIKU NAWE JIWEKE KATIKA HALI NAWE UWE NA MAISHA MAZURI.

    Magonjwa yote hutibika kwa mwenye kubri na uwezo kutoka kwa Allah DOKTA MDIRO upate ufumbuzi wa tatizo na Jambo lako.

    UWEZE KUTIZAMWA NYOTA YAKO NA MWILI KWA UJUMLA UMBALI SIO TATIZO HUDUMA INAKUFIKIA PIA KWA WANAOTAKA KUFIKA OFISINI NA MAWASILIANO NAMBA ZIPO CHINI UNAPOKELEWA NA DOKTA MDIRO MOJA KWA MOJA.

    DOKTA MDIRO call/whatsup +255 742162843

    ANGALIZO PIGA SIMU HUSITUME SMS KUHUDUMIWA HARAKA NA KUHEPUKA MATAPELI.

    ReplyDelete