KUTOA MIKOSI MWILINI AU KAZINI KWA KUTUMIA KITUNGUU SWAUMU
Chukua
kitunguu swaumu ukiponde ponde na uchanganye na michanga ya njia panda na
majani ya mkungu yaliyo dondoka chini, kisha oga na kunywa kwa muda wa siku 5
au 7 au 11 kulingana na tatizo lako limekaa kwa muda gani.
Tiba hii husaidia sana hata kwa wale wanao
sumbuliwa na jinni mahaba.
No comments:
Post a Comment