BOOK
OF CARD
Asalam aleikum ndugu zangu katika tiba na ndugu zangu
katika imani na wapenzi wa vitabu vyangu kwa ujumra.
Napenda kuwa tangazia ya kwamba sasa Babu Haji nimekuja
ki vingine baada ya kuwaandalia karata au kadi za utabiri zenye uwezo wa
kukutabiria kila jambo au kubashiri jambo kwa njia nyepesi kabisa. Utabiri wa
kadi ni mzuri sana kwa sayansi tuliyo nayo.
Na hizi ni dondoo baadhi za kadi zetu.
Kwanza
kabisa unatakiwa kujua ya kwamba card hizi ni card za kichawi ambzo
zinakuhitaji na wewe uwe mbunifu wa kuzitafsiri maana card hizi zina viumbe
ndani yake ambapo kila card moja ina tafsiri nyingi kwa mfano kuna ndio na
hapana ndio itakujibu kwa swali lolote uliloliuliza na pia hapana litakujibu
kwa swali lolote uliloliuliza kwamba haliwezekani.
Wengi
tunapenda kujua mambo au kufanya mambo yenye uhakika na kadi hizi zina majibu
ya uhakika katika njia ya kutabiri mambo mbali mbali yajayo, yaliyopo na yaliyo
pita.
Kawaida
kama unataka kujua jambo unatakiwa kuchanga kadi zako kama unavyo change
karata, kisha utazitandaza chini na utaanza kuokota moja hadi tatu na utaanza
kuzisoma kuanzia karata ya kwanza, pia unatafuta uhakika wa jambo au wa utabiri
wako kwa kuendelea kuokota karata au kadi zingine hadi upate jibu sahihi.
Hakika
ukijua kutumia kadi hizi mambo yako yatakuwa mepesi sana maana kila jambo
unaweza kuligundua mapema kama linawezekana au laa, na hata kama ni
uchumba,ndoa,mapenzi, ugonjwa michezo NK.
Kadi
hizi ziko 77 lakini hum nime sherehesha chache sababu kadi zingine zinajieleza
zenyewe.
JINI
MAHABA
Mfano
ukikutana na card inayosema tatizo ni jinni mahaba basi tambua ya kwamba mgeni
wako au unae mtizamia au hata wewe mwenyewe mambo yako au tatizo lako
linasababishwa na jinni mahaba.
TATIZO
NI MIZIMU
Ukikutana
na card inayosema tatizo ni mizimu jua ya kwamba shida yako au maradhi yako
yanasababishwa na mizimu unatakiwa
kufanya tambiko ili kupata salama yako.
WEWE NI
MSHINDI KWA MPINZANI WAKO.
Ukikutana
na card hii jua ya kwamba utashinda adui na hata ni mchezo utashinda kesi
utashinda na pia kama ni maradhi utapona kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
MIZIMU
INATAKA KULA.
Ukikutana
na kadi hii jua ya kwamba ili kufanikiwa kwa mambo yako unatakiwa ufanye
tambiko maana umeisahau mizimu yako wakati ndio msaada wako.
ANAEWAVURUGA
NI JINI WA KIUME.
Kadi
hii inawakilisha mashetani wanaovuruga ndoa za watu ukikutana na kadi hii
katika kadi tatu za mwanzo unatakiwa ujue kwamba kuna jinni mbaya anaevuruga
ndoa na kuwasababishia kutokuelewana.
ACHA
UZINZI.
Ukikutana
na kadi hii kama mambo yako ni mabaya na unataka kujua tatizo ni nini basi jua
kuwa tatizo lako ni uzinzi au kuna mtu unafanya nae mapenzi ambaye nyota yake
ni chafu na pia mtu huyo anaweza kuwa ni mchawi.
UTAPATA
MALI.
Ukikutana
na kadi hii kama unauliza kuhusu uchumi mwambie kwamba atapata mali kama
atashughulikiwa na kama umeshamshughulikia akauliza kuhusu maendeleo yake
ukakutana na kadi hii tayari kifungo kimeondoka na atapata mafanikio na kama
ana safari ya utafutaji atafanikiwa.
NYOTA
IMEZIMA NA MAMBO HAYAENDI.
Kadi
hii ina mishumaa iliyozima ambayo inawakilisha kuzimika kwa nyota unatakiwa
kushuhulikiwa ili kuiwasha nyota yako.
TATIZO
LAKO MAPENZI NDOA UCHUMBA.
Ukikutana
na kadi hii jua ya kwamba mgeni wako tatizo lake ni mambo ya mapenzi ndoa au
mahusiano ya kimapenzi kisha endelea kuokota karata mpaka ukutane na tatizo
lake ni nini ili upate ufumbuzi kamili na jinsi ya kumsaidia.
ATIZO
NI MIZIMU YA UGANGA.
Ukikutana
na kadi hii kama mtu amekuja kujua tatizo lake ni nini kama ni uzazi afya
mapenzi na kazi mwambie kwamba tatizo lako ni mizimu fanya tambiko na unatakiwa
uwe mganga ukabidhiwe mikoba maana ndio kazi yako.
ATARUDI
KWAKO HIVI KARIBUNI.
Karata
hii inawakilisha wapenzi walioachana au mtu aliyepotea au kuharibika kwa kazi
kama ni kazi mwambie utarudishwa kazini na kama ni mapenzi mwambie mpenzi wako
mtarudiana na kama ni ndoa itarudi.
RAFIKI
ILA NI ADUI.
Ukikutana
na kadi hii jua ya kwamba adui yako ni mtu wako wa karibu na hata kama
unaulizia kuhusu mpenzi ukapata kadi hii basi jua ya kwamba mpenzi huyo
atageuka kuwa adui au yupo kwa ajili ya masilahi.
MKOSI
MKUBWA .
Ukikutana
na kadi hii jua ya kwamba unamkosi mkubwa unatakiwa utibiwe maana kila jambo
utakalolifanya litaharibika.
MZIMU
WA KICHAWI.
Ukikutana
na kadi hii jua kuwa unaemwangalizia ana mzimu wa kichawi unatakiwa ufungwe au
kutolewa maana unaweza ukawa wa kutumwa au wa ukoo.
UTAPATA
MALI KUTOKA KWA MIZIMU AU MAJINI.
Ukikutana
na kadi hii inamaana ya kwamba utapata mali kwa njia ya mizimu au majini au
ndagu na kama unakzi ya kuita kiumbe kwa ajili ya mali utafanikiwa na kama
hujafanya kazi hiyo basi una mizimu ya mali pia inawakilisha kuwa unaweza kuwa
na jinni wa kukupa mali.
ILI
UFANIKIWA KAZURU MAKABURI YA WAZEE.
Kadi
hii inawakilisha uwepo wa mizimu ambao umewasahau unatakiwa ukazuru makaburi
yao au ufanye tambiko au uwafanyie dua ya kuwarehemu.
UADUI
WA JINI MKUU.
Kadi
hii inawakilisha kuwa adui yako ana nguvu kukushinda wewe unatakiwa uongeze
kinga na kujihadhari.
UCHAWI
HUU NI WA MAKABURINI.
Kadi hii
inawakilisha kuwa una uchawi mkali na uchawi huo ni wa makaburini na kama
unatizamia mgonjwa ambaye yuko hoi basi inatakiwa umtibu kwa njia za makaburi
na kama una safari ukauliza kuhusu safari yako katika karata tatu za mwanzo
utapata kadi hii basi safari yako ni mbaya huenda ukapata ajali.
NDOA
ITATIMIA.
Ukipata
kadi hii kama umeulizwa kuhusu swala la ndoa mjibu kwamba ndoa itatimia hata
kama kuna misukosuko.
NYOTA
IMEWAKA NA KIPATO CHAJA.
Kama
umemshuhulikia mtu ukapata kadi hii ina maana mambo yake yamefunguka na kipato
kitafunguka kama ni kazi atapata.
USHINDI.
Ukipata
kadi ya ushindi hii inatabiri mambo mengi,michezo utashinda, mgonjwa atapona,
utawashinda maadui, mambo yako yatafunguka, kesi utashinda, na hata kama kuna
mtu alikuwa anakufanyia ubaya utamshinda.
UTASHINDA
ADUI.
Kadi
hii inawakilisha kushinda kila aina ya uadui na hata kama ni michezo utashinda
na kama mtu anakufanyia ubaya basi ubaya wake utamrudia mwenyewe.
MJI UNA
MIZUKA.
Kadi
hii inawakilisha mji au nyumba ukikutana na kadi hii wakati unauliza kuhusu
mambo yako au watoto au familia kwa ujumla utabiri unasema kuwa tatizo lipo
kwenye mji.
MTAACHANA
LAKINI MTARUDIANA.
Ukikutana
na kadi hii jua a kwamba hata kama ulikua una fanya dawa za mapenzi, utafanikiwa
na kama unauliza kuihusu mpenzi basi atarudi.
FANYA
IBAADA UTASHINDA.
Ukikutana
na kadi hii inakushauri urudi kwa muumba wako ndipo utaondokewa na mitihani,
tegemezi lakoliwe kwa muumba wako na
ukifanya dua utafanikiwa haraka sana.
UMEFUNGWA.
Ukikutana
na kadi hii jua ya kwamba una kifungo, kinaweza kuwa ni cha mizimu au kichawi
na pia inaweza kuwa ni kufungo cha kichawi, hapo unatakiwa uendelee na kuokota
karata ili kupata jibu sahihi.
MARADHI
YAMEPITIA SEHEMU ZA SIRI.
Ukikutana
na kadi hii jua ya kwamba maradhi yako huenda yakawa ya maambukizi, au maradhi
ya kichawi lakini yamepitia sehemu za siri, unaweza kuwa umepata maradhi kwa
ajili ya mapenzi pia inaweza kutabiri hivyo.
ILI
KUPATA MAFANIKIO TOA SADAKA KWA WATOTO YATIMA.
Ukikutana
na kadi hii mwanzo basi unatakiwa kutoa sadaka kwa watoto yatima na hata kama
umefanya dua baada ya kumaliza dua yako toa sadaka kwa yatima Dua yako itakuwa
makbuur.
UNA
KALIWA VIKAO AU UTAKALIWA VIKAO.
Kadi
hii ina maana nyingi, kwanza kabisa inatabiri kuwa:
1. Unaweza
kupata kesi.
2. Kusingiziwa
jambo.
3. Kujadiliwa
kuhusu kuhusudiwa.
4.
Kukalishwa vikao vya suruhu ya ndoa.
5.
Mikutani ya mizimu na majini.
6. Kama
ni uadui basi maadui ni wengi.
7.
Vikao vya kukusema vibaya,NK.
SAFARI SALAMA.
unatabiliwa
ya kwamba kama una safari utafika salama na hata kama ni kuhusu ndoa itatimia
salama bila vikwazo.
UCHAWI
NI WA MITI NA ULIZIKWA KABURINI.
Hapo
unaambiwa ya kwamba unatakiwa kuutoa uchawi wako kwa kutumia njia za makaburi
maana umerogewa makaburini pia kuna uwezekano wa kuwa na jinni maiti sababu
uchawi huu hubadirika na kujitengeneza kama kivuri cha mfu.
UTAPATA
MATATIZO KWA AJILI YA MAPENZI.
Kadi
hii ina kutabiria kama unapenda ngono uache maana kuna hatari ya kupatwa na
mabalaa na hata kama unauliza kuhusu mpenzi wako au mume ukapata kadi hii basi
jua kuwa mtu huyo au rafiki huyo atakuingiza matatani, achananae.
JAMBO
LAKO NI LA FAIDA LAKINI KUNA UZITO.
Kadi
hii inawakilisha mambo yote kwa ujumra, lakini kuna uzito wa kufanikiwa, hapo
unatakiwa kuendelea na kuokota karata ili ujue sababu ya uzito ina tokana na
nini.
USIKU WANA KUTOA KICHAWI NA UNAKITU CHINI.
Kadi
hii ina maanisha ya kwamba wachawi wana kutumia katika mambo yao au huenda
ukawa na muzimu wa kichawi bila kujijua, na mzimu huo unaweza kuwa wa kutupiwa
ama wa kurithi, ama inaweza kuwa ni chata ya kichawi ambayo hubandikwa mtu ili
arogwe kila aendako.
MATESO
YAKO NI YA KIJINI FUKUZA.
Kadi
hii inawakilisha majini au mizuka, kama umeuliza jambo na ukapata kadi hii basi
usihangaike na dawa zingine bali jalibu kuangalia majini hayo ni ya ukoo au ni
ya kutupiwa? Maana unaweza kukazana kufukuza jinni kumbendo unaharibu kabisa,
endelea kuokota karata zako utapata jibu sahihi.
JINI
HUYO NI JINI WA UGANGA NA ANAMALI.
Kadi
hii inawakilisha kujua kiumbe anae kusumbua kama ni wa kheri au wa shari, hapo
jibu unaambiwa kwamba jinni huyo ni wa Uganga na anamiliki mali kwa hiyo
ukifanya matakwa yake unaweza kufanikiwa.
UKIMUITA
KIUMBE ATAKUJA HARAKA SANA.
Kadi
hii inawakirisha waitaji wa jinni, mizuka au mizimu, ukifanya kazi ya kuwaita
watakuja haraka sana maana unaonekana huna kikwazo katika ufalme wako.
ALIKUPATA
UKIWA MDOGO.
Kadi
hii inasema kuwa kama unauliza kuhusu jinni au mzimu basi jua ya kwamba
alikuingia ukiwa mdogo na kuna haja ya kuendelea kuokota kadi ili kujua ya
kwamba je ni wa kheri au wa shari.
UTAUA AU UTAUAWA FANYA DUA.
Kadi
hii ina kutahazarsha mambo ya mbele na ujichunge na asira maana unaweza kuua
bila kukusudia au kwa kukusudia na pia inatabiri kuwa unaweza kuuawa.
Kwa
hiyo kama unajambo unalifanya la hatari achananali maana huenda ukauawa, au
kama kuna mtu mna uadui nae huenda akakuua, jikinge kwa njia zako uzijuazo.
Sababu
ya kuuawa inaweza kuwa kutembea na waume au wake za watu, wizi, udokozi,
ujambazi, umbea au hata kupata kwako kwa mafanikio. Mjuzi zaidi ni Mwenyezi
Mungu.
NDIYO.
Kama
umeuliza jambo na ukapata kadi ya ndiyo inamaana imekubali kwa jambo lako
utafanikiwa.
KWA
NGUVU YA VIUMBE WAKO UTAPATA MAFANIKIO MAKUBWA.
Kadi
hii inakwambia kuwa kama una uadui basi viumbe wako watakuepusha na kama ni
jambo unafanya utafanikiwa kwa nguvu za viumbe wako na unatakiwa uwajari maana
ni msaada wako mkubwa.
MAFANIKIO
YAPO KWENYE KUSOMA.
Kadi
hii inamaana nyingi, kama una mitihani ya ki maisha basi unatakiwa ufanyiwe dua
au wewe ufanye duwa kwa ajili ya kuondosha tatizo hilo, na kama ni mwanafunzi
basi zidisha masomo maana ndiyo yatakayo kuokoa mbeleni na kama ni mfanyakazi
wa selikali na unataka cheo basi kasome tena ndipo utapata kipato kizuli na
mafanikio.
UTAPATA
MALI KUTOKA ARDHINI KWA MSAADA.
Kadi
hii inakutabilia wewe mchimba madini au mkulima ya kwamba utapata mali kwa
msaada, sasa hapo msaada unatakiwa ujue jee ni msaada kutoka wapi? Endelea
kuokota karata ili kupata jibu sahili maana inaweza kuwa msaada wa
kijini,mizimu au watu, ndugu au rafiki.
UTAJIFUNGUA
SALAMA.
Kadi
hii inamaana nyingi, inaweza kuwa ni kufunguka kwa vifungo, au kujifungua kwa
mama mjamzito, au mambo yako kufunguka.
UTALIA
SANA KWA AJILI YA KUTENDWA NA KUTENGWA.
Kadi
hii inataarifa juu ya mapenzi na ujamaa, maana inakutabiria ya kwamba kama una
ulizia kuhusu mpenzi basi jua ya kwamba mtakua watu wa kukwazana kila mara na
pia sio mtu wako wa kudumu, ni mtu wa kukutesa ki mapenzi kila siku, na kama
utauliza kuhusu ushirikiano au mnataka kufanya biashara na mtu basi jua ya
kwamba kuna hatari ya kukuzurumu au hata kukuangamiza juu ya mkataba ili
abakina mali.
UNA
KIFUNGO KILA MAHALI NA MAMBO HAYAENDI.
Kadi
hii ni mbaya kuliko kado zote maana inafunga kuanzia rizki hadi ki nyota na
kilakitu kimekwama au kitakwama na huo ni uchawi au kifungo cha viumbe wako
mwenyewe.
WFURAHISHE
WAZAZI UTAFANIKIWA.
Kadi hii inakwambia kwamba unatakiwa kuwaheshimu na
kuwatendea wema wazazi wako ili kupata mafanikio hata kama wazazi wametangulia
mbele za haki unatakiwa kuwafanyia duwa na kuwaombea mema ili na wewe ufunguke
na utapata mafanikio.
Kwa jambo ulilo uliza ni zuri kama utatenda wema kwa
wazazi wote wawili.
ATARUDI
KWAKO HIVI KARIBUNI.
Kadi
hii inautabiri wa mpenzi, mwizi, au mari iliyo kutoka itarudi na kama ni mke au
mume alikuacha mtarudiana muda sio mrefu, na kama kuna kazi umefanya ya mapenzi
basi kaa ukijua kuwa ina mafanikio.
UTAZUILIWA
AU KUKAMATWA.
Kadi
hii inatabiri:
Biashara.
Safari.
Uchumba
utaharibika.
Mzigo
utakamatwa.
Biashara
itafungwa au hata kama unataka kwenda kuomba kazi sehemu basi utakataliwa.
ULITUMIKA
UCHAWI WA MDOLI AU TUMIA MDILI.
Kadi
hii inatabiri ya kwamba kama una uchawi mwilini basi unatakiwa uutoa kwa
kutengeneza mdoli na unatakiwa kuunda na kuutosa kwa manuizi.
UTAMBAINI
ADUI YAKO AU MWIZI.
Kadi
hii ina wakilisha kumbaini adui au kumjua mbaya wako na pia huenda ikatabiri
kupatikana kwa mali iliyo ibiwa.
NGOMA
DROO.
Kadi
hii ina wakilisha kutoka salesale, kama ni mpira au mashindano ya aina yoyote
na pia inatabiri kushinda kesi kama una shtakiwa na kama unashtaki utashinda,
na pia inatabiri kulipwa deni au kumshinda adui yako.
NYOTA
IMEZIMWA NA MAMBO HAYAENDI.
Kadi
hii una mishumaa ambayo imezima ikiwakilisha kukushawishi kusafisha nyota yako
ili iwake maana kwasasa haina mvuto na unatakiwa kuwa na mvuto ili mamboyako
yaende sawa laa sivyo utaambulia patupu.
Na pia
kadi hii inakwambia kuwa huna ushawishi kwa watu sababu ya nyota kutokuwaka.
UTAFUNGWA
SABABU YA NGUVU ZA GIZA.
Kadi
hii inawakilisha mbambo matatu:
(a)kufungwa
ki michezi.
(b)
kufungwa jera.
(C)
kufungwa kipato.
Kama
unauliza kipato na ikatoka kadi hii mwanzo ujue kuwa unafungwa kwa nguvu za
giza inamaana ya kwamba kuna uadui mbele yako, hal kazalika kama unaulizwa
kuhusu michezo jibu ni unauwezo wa kumfunga lakini atakufunga kwa ajiri ya
uchawi na sio kwa juhudi za kawaida.
UADUI
WA JINI MKUU.
Kadi
hii inakutabiria kuhusu adui yako kuwa ana nguvu kuliko wewe na anaweza
kukushinda na pia kama ni maradhi chunga sana huenda jinni huyo akakudhuru
sababu ana nguvu kuliko ufalme wako.
WEWE NI
MSHINDI KWA MPINZANI WAKO JIAMINI.
Kadi
hii inawakilisha ushindi kwa adui na hata kama ni michezo utashinda, na kama ni
mchumba utamuoa, na pia inatabiri kuhusu adui yako utamshida tena jiamini.
NI
KAHABA NA ANATUMIA SANA DAWA.
Kadi
hii ina wakilisha muke au mume, kama umeuliza kuhusu swala la uchumba na ukapata
kadi hii basi mtu huyo achana nae maana ni mzinifu na anatumia sana nguvu za
giza, atakuweka kiganjani, epukana nae haraka sana.
UFALME WAKO UMESTAWI.
Kadi
hii inakwambia kwamba, mizimu au majini wako wapo vizuri hawana ubaya na wewe
kama una vikwazo jua ni vya kawaidatuu.
UTAUAWA
NA UFALME WAKO MWENYEWE.
Kadi
hii inawakilisha kuwa kinacho kumaliza huenda ikawa ni watu wako wa karibu,
mizimu yako mwenyewe, majini yako, ndugu, rafiki au hata mtawala wako au bosi
wako, kwa kukaidi maagizo au ahadi.
ILI
UFANIKIWE KAZURU MAKABURI YA WAZEE.
Kadi
hii inakwambia ya kwamba mikwamo yako au ili kufauru katika jambo lako
unatakiwa ukazuru kaburi au makaburi ya wazee wako.
NI KIGEUGEU
Ukikutana na kadi hii ina kujulisha kwamba mtu unae
muhitaji au unae taka kufanya nae jambo au alie kuahidi kitu, mtu huyo ni
kigeugeu, huenda akatimiza au asitimize sababu ya kukosa msimamo.
VITA NI KALI SANA.
Kadi hii inamaanisha kwamba kama una vita ni kali sana na
kama unahitaji kujua juu ya mashindano, yatakua na mchuano mkali sana, na kama
ni mgonjwa ugonjwa wake ni mkali sana na huenda akawa karogwa.
UTA ZURUMIWA.
Kadi hii inawakilisha kwamba utazurumiwa haki yako, kama
kuna mtu anataka kukukopa au kachukua amana yako jua ya kwamba atakuzurumu.
TIMIZA AHADI.
kadi hii unakutaka utimize ahadi ndipo upate unacho
kitaka, na ahadi inaweza kuwa ya tambiko au kuna jambo ulitaka kulifanya na
ukaahidi kwamba ukilipata utafanya kitu franu au utafanya tambiko hakikisha
unatimiza maana ndo kikwazo kwako.
CADI HIZI
ZIMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA DR. BABU
HAJI, MTAALAMU WA TIBA ASILI TANZANIA.
ANATIBU MARADHI MBALI
MBALI KAMA VILE,
1. KISUKARI.
2.
PRESHA.
3.
VIDONDA VYA TUMBO.
4. MIGUU KUUMA, KUWAKA MOTO. 5.
MATATIZO YA AKILI (VICHAA).
6.
BAWASIRI.
7. KUFUKUZA MAPEPO. 8.
KUFUNGUA VIFUNGO VYA KICHAWI.
9. NGUVU ZA
KIUME.
10. UZAZI. 11.
UVIMBE TUMBONI.
12.
KUMUITA ALIE MBALI.
13. KUSAFISHA NYOTA.
14. MVUTO KATIKA BIASHARA.
15.
KUTOA MIKOSI KATIKA MWILI,NK.
PIA NINAYO MAFUTA YA
AJABU YAITWAYO RADI, NIMAFUTA YENYE UWEZO WA KUTIBU KILA MARADHI NA KUFUKUZA
MAJINI AINA ZOTE PIA MAFUTA HAYA YANA MVUTO WA AJABU KATIKA MWILI PIA KATIKA
BIASHARA NA KUFUKUZA UBAYA KATIKA MJI,NK.
PIA USIKOSE VITABU
VYANGU VINGINE KWA AJILI YA KUPATA ELIMU
ZAIDI YA KUJI TATULIA MATATIZO WEWE MWENYEWE.
1.KITABU
CHA TAFSIRI ZA NDOTO,NO1.
2.KITABU
CHA TAFSIRI ZA NDOTO,NO2.
3.KITABU
CHA TAFSIRI ZA NDOTO,NO3.
4.ELIMU
YA NYOTA,NO,1.
5.ELIMU YA NYOTA,NO2.
6.MAAJABU
YA YASIN,NO1. 7.MAAJABU
YA YASINI,NO2.
8.MAAJABU
YA YASIN,NO3.
9.
MAAJABU YA INNA ANZALNAHU.
10. KITABU CHA UFUNGUO,NO1.
11.KITABU
CHA UFUNGUO,NO2.
12.MAJINA
28 YA BARAHATIH,NO1.
13. MAJINA 28 YA BARAHATIH,NO2.
14. MAAJABU YA MISHUMAA NA UDI.
15.
KITABU CHA MADAWA MCHANGANYIKO.
16. MJARUBATI BIN HAJI
,NO1.
17.MJARUBATI
BIN HAJI,NO2.
18.MJARUBATI
BIN HAJI, NO3.
19.DUA
YA MOTO.
20.. KITABU CHA MITI SABA
YENYE UWEZO WA KUTIBU KILA MARADHI.
21. KITABU CHA MAFUTA YA AJABU YENYE UWEZO WA KUTIBU MARADHI MENGI NA
KUFUKUZA MAJINI.
22. KITABU CHA UFUGAJI WA KUKU. 23.
MAMA AJIFUNGUA NYOKA BAADA YA KUOMBEWA NA MCHUNGAJI.
24. MADAWA NO1.
25.MADAWA
NO2.
26.MADAWA
NO3.
27. KITABU CHA MAGONJWA YA MOYO, PRESHA NA
KISUKARI(dalili zake na tiba zake)
28. KITABU CHA
HADITHI YA JINI MAIMUNA NA KIJANA HAJI UJININI.
29. KITABU CHA MAUMBILE NA MAANA ZAKE. 30.
KITABU CHA WATAMBUE MAJINI NA DALILI ZAKE.
31. KITABU CHA NGUVU ZA KIUME NA HISIA NA UZAZI. 32. MAAJABU YA SURAT
WAQIA.
33. MADHALA YA ZINAA KATIKA DINI NA KISAYANSI.
34.
ELIMU YA HESABU NA UTABIRI,NO1.
35.ELIMU
YA HESABU NA UTABIRI,NO2.
36.ELIMU YA VIUMBE (elimu ya viumbe),NO1.
37.ELIMU
YA VIUMBE(elimu ya viumbe),NO2.
38.FUNGUO,NO1.
39.
FUNGUO,NO2
40.
KITABU CHA DUA NZITO YENYE MAJIBU YA HARAKA.
41.DUA MOTO
WA YASINI
42.DUA
HAKIMU WA KWELI
43.YASINI
41
44.UFUNGUO
WA YASINI
45.TIBA
MAGONJWA YA KICHAWI NO1
46.TIBA
MAGONJWA YA KICHAWI NO2
47. MAAJABU
YA MNANAA
48.TIBA ZA
KALE
49.TIBA
MAGONJWA MCHANGANYIKO
50. KITABU CHA MAGONJWA YA KINA MAMA NA DAWA ZAKE.
51. KITABU CHA ELIMU YA KUMSOMA
MTU KUTOKANA NA MAUMBILE YA
KUZALIWA
NAYO .
52.KITABU CHA HABARI ZA SAA
53. RED
BOOK, KITABU CHA MIUJIJA KILICHO BEBA VITABU VYOTE NA MIUJIZA YA KUTOSHA.
54.ABJED
NO1
55.ABJED
NO2
56.ABJED
NO3
57,MITI 7
58.MAHABA
NIUWE
59.MAAJABU
YA MMBAAZI
60.ELIMU YA
TIBA NO1
61.ELIMU YA
TIBA NO2
62.ELIMU YA
TIBA NO3
63.ELIMU YA
TIBA MCHANGANYIKO
64.KITABU
CHA MIUJIZA, (HATARI)
65.DUA 33
ZENYE MAJIBU YA HARAKA
66.MAGONJWA
YA KINA MAMA NO1
67.MAGONJWA
YA KINA MAMA NO2
68.ELIMU
DUNIA
69.ELIMU YA
MITI KATIKA TIBA NA UCHAWI
70.DUA YA MNYONGE
71.PIA
USIKOSE KITABU CHANGU KIITWACHO UCHAWI WA ZAMANI KILICHO JAA TARASIMU ZA KILA
AINA NA ELIMU YA KUTUMIA NAMBA ZA ABJADI NA ELIMU ZA MAJINI NA MAANA YA BAADHI
YA MITI NA MATUMIZI YAKE PIA KATIKA KITABU HIKI KINA UCHAWI KWA KUTUMIA
SHIKERI.
KAMA
UNAHITAJI KUKUZA ELIMU YA TIBA ASILI NA KUJUA MENGI KUHUSU MAJINI USIKOSE
KITABU HIKI.
72.UCHAWI
WA ZAMANI NO1
73.UCHAWI
WA ZAMANI NO2
74.UCHAWI
WA ZAMANI NO3
75.UCHAWI
WA ZAMANI NO4
76.UFUGAJI
WA KUKU
77.SAYARI
78.DUA
HAKIMU WA KWELI
79.HADITHI
YA BABU HAJI NA JINI MAIMUNA
80.KISA CHA
NABII MUSA
PIA USIKOSE VITU MUHIMU VIFUATAVYO:-
1.Fimbo ya ajabu ambayo ina
nguvu za kutoa mapepo haraka sana na kufanya mambo mengi ya miujiza pamoja na
kinga na kujitibu maradhi mbali mbali.
Fimbo hii inapiga wachawi
usiku na pia kwa maelezo zaidi ukinunua fimbo hii unapewa na kitabu chake kwa
maelezo zaidi na matumizi yake.
2. Pete ya ajabu.
Pete hii ni kwa ajili
ya mvuto, kinga, ndoto, mapenzi,cheo
kazini na pia pete hii ina kitabu chake cha maelezo na jinsi ya kuitumia.
3. Kidani cha ajabu.
Kidani hiki kina uwezo wa
kukufungulia njia za kupata mali na kukuonyesha azina ilipo, kukupa njozi za
kesho, kukusafisha nyota na pia kidani hiki kina kitabu chake kwa maelezo
zaidi.
Kidani hiki unaweza
kukitumia na ukamuita jini moja kwa moja au kumuona mchawi moja kwa moja au
katika njozi.
Kidani hiki pia ni mvuto
hatari sana wa biashara.
KWA DAR ES SARAM NAPATIKANA BUGURUNI MALAPA UKISHUKA ULIZA
KAMPUNI YA ULINZI YA TURU: NIKO JENGO HILO HILO.
ZAIDI WASILIANA NA
DR.BABU HAJI KWA SIMU NO 0657,555550/767,393934/0712950514. Au tembelea blog, http://hajibabuherbalistclinic.blogspot.com
face book nitafute kwa: babu drhaji
Au
tembelea website Babuhaji.com
SH/100000
No comments:
Post a Comment